Masonic 666
Senior Member
- Dec 15, 2017
- 128
- 213
Huyo dada hakulingana na Mwizarubi.Rafiki yangu huyo Fb huko,aligombea UBUNGE Arusha Mjini kwa REMA kupitia CCM akashindwa.Alikuwa wa kwanza OLEV 2002 ILBORU na AKAWA wapili ALEVEL 2005 PCM ILBORU akipitwa na MDADA ambapo walilingana KILA KITU Isipokuwa JINSIA tu hivyo MOSES akawa wa pili na dada wa KWANZA.
Deadbody
Halafu hakusoma Science ,alisoma HKL