DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Labda chuo cha papuuch..Chuo cha ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda chuo cha papuuch..Chuo cha ujinga?
Uje siku moja umjadiri to mwingine moses mwizarubi alikua ilboru ni balaaa
Wewe ni kijana wa Mirambo moja dormitory?Kawa T O wapi tena??,, I knw gwamaka is my friend we studied for 5 years together,, ila mwisho wa siku hakuna la maana sana,, ni competitions ambazo hazina matunda meema kwa taifa, na zile wanaita special schools, hakuna la maana linaloendelea kule tofauti na walimu ku relax na kuwaacha wanafunzi washindane,, hadi leo cjui lile neno "special", maana yake nini, coz hata mazingira tuliyokuwa tunaishi jumlisha chakula,, hakukuwa na u "special", wowote
Chegere kasoma mazingira magumu zaidi yako,kinabo wewe!!Mm najiona ndio gwiji dunian Hgl division 1-8 bila walimu+ chakula kibaya+shule mbaya. Hapo akina Chegere wenu hawaniwezi. Ninge compete nao kwenye mazingira sawa, Nina uhakika ningewaburuza sana.
Uje siku moja umjadiri to mwingine moses mwizarubi alikua ilboru ni balaaa
Mirambo moja nlikuwa nakuja kupiga misele tu,, hunifahamuWewe ni kijana wa Mirambo moja dormitory?
Nitakuwa nakufahamu bro nilikuwa cube moja na Gwax.
Unamkumbuka Mnubi Simba?Mirambo moja nlikuwa nakuja kupiga misele tu,, hunifahamu
Namfahamu, the guy from moro townUnamkumbuka Mnubi Simba?
HP wako?
Yani alitakiwa apige mathematics kama degree mpaka PhD angesaidia Sana kudesign new algorithms n mathematical formula now amesoma civil engineering [emoji22][emoji22][emoji35][emoji35][emoji35]Japo kua sishabikii matokeo yao lakini tunapoteza vijana wengi wenye uwezo IQ kubwa kuwaongiza kwenye mfumo wetu uliokosa ubunifu. Nilitegemea hao genius wawe wanauwezo wa kubuni sio kukaa ofisoni
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usijali mkuu.... sisi tuliopata pass huu uzi tunaupitia tukiwa ndani ya shuka [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mbona umemzungushia mpanya atakumind huyo Jamaa
You mean sua Jamaa alikua mpole Sana ila chuo na high school ni tofauti Sana how to tackle problemsKuna kijana wenu mwingine nimemaliza nae pale sua the same class Dr Julius Luvanga jamaa amepiga banda za kutosha.....
Amevunja rekodi za ma prof wa miaka hiyo nadhani performance yake haijawahi tokea pale kwa kitivo chetu na chuo kwa ujumla.....
Sasa mnubi simba si yupo Algeria huyo dogo namjuaUnamkumbuka Mnubi Simba?
HP wako?