Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
- Thread starter
- #61
Mkuu hebu kuwa serious basi hata KIDOGO,yani huyo Kibabu wako MTATA unamfananisha na MASTER Mwaramy aka MWARAMSHA??????Man Achana na Mtata kaka, Jamaa hakuwa maarufu ila alikuwa noma.
Mimi sikusoma namba A-level, nilipiga PCB, lkn Kuna Chuma pale Mzumbe alikuwa anapiga kwa Mtata na akamwahidi atamletea A ya Namba, na kweli jamaa akapiga A.
Mwaram nae noma ila kwa Mtata anakaa
Angalau Log Man ukimfananisha na MWARAMY Ndio nitaomba KURA ya maoni..