Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

10245425_680362172005213_2624824534249331449_n.jpg


GWAMAKA NJOBELO

Hadi huku jamaaa kawapiga BAO(Kawa TO)
Kawa T O wapi tena??,, I knw gwamaka is my friend we studied for 5 years together,, ila mwisho wa siku hakuna la maana sana,, ni competitions ambazo hazina matunda meema kwa taifa, na zile wanaita special schools, hakuna la maana linaloendelea kule tofauti na walimu ku relax na kuwaacha wanafunzi washindane,, hadi leo cjui lile neno "special", maana yake nini, coz hata mazingira tuliyokuwa tunaishi jumlisha chakula,, hakukuwa na u "special", wowote
 
Hahahahah, aisee sikumbuki cheti changu chochote chenye somo la hesabu tofauti na alama "F" ukiacha chuo ambapo sikuwahi ku sup hivyo nilichomokamo na alama "D".
Mkuu chuo gani hicho kinahesabu D kama pass ....[emoji4] [emoji4]

Though cheti changu cha chuo kina makarai kwelikweli.....[emoji2] [emoji2]
 
Deadbody,
nachoweza kusema juu ya sily boy maana niliish nae kibaha boy jamaa alikua mpole sana sana hakuwah kumiss kipindi chochote cha ibada (alikua mromani) ni moja kati ya mafundi wapole sana na kitu kingine sili alikua anatumia mkono wa kushoto ukimwona akifanya mtihan utadhani hatomaliza kwa wakati kwa jinsi ambavyo hapaniki lakin homeboy alikua very smart linapokuja swala na namba mpaka ikafika steji pale Kibaha swali likisumbua utasikia nenda skandia (bweni alilokua akiish) kwa fundiii.

Ila jamaa chuo alichagua ardhi..(sikujua kwa nin ila naamin jamaa alikua na malengo fulani) mpaka last time naonana nae pale ardhi mwendo ulikua ni ulele wa kuwakimbiza...sijajua tokeo lao nani aliyeongoza overall ila najua kijana angu alituwakilisha vizuri...

long live kibaha boys.....!!!!
 
Zawadi Mdoe alikua kichwa sana. Nahisi anasoma masters sasa hivi maana kamaliza degree ya kwanza udsm akisomea chemical and industrial engineering akipata GPA ya 4.9. Deadboy endelea kutupa hizi stori za best students Kama unazo
Zawadi nimesoma nae darasa moja miaka 6 ya shule ya msingi alianzia la pili hakugonga std 1 ila uwezo wake ulikuwa superficial.

Stream yetu ilikuwa ya vichwa tupu ila toka jamaa alipojoin class 2, rank ya namba moja(1st student) ilikuwa ni kama TAG yake. Kila term anachukua zawadi yeye ndio best student hadi tukazoea sasa kwa miaka yote.

Hivyo kwa miujiza alioifanya mbele ya taifa kwangu mimi sio ajabu sana maana mchizi show ya kupandisha madude shuleni anaiweza mi mwenyewe nilikuwa nyoko ila ule mziki ni CD700 halafu mchizi hana pozi wala nini ye amani tu. Bless up to Zawadi Mdoe!
 
Back
Top Bottom