Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Nilishawah kukutana na T.O LUSEKERO KIBONA ikaandikwa historia ya ma T.Os wawili kukutana pamoja yaan Tanzania (o)ne +Tanzania Zero(0) = T.Os.
Mi nime reseat kuanzia chekechea mpaka chuo. Nikipata C nafunga mtaa, lakin bado HELSB wakajichanganya wakanitemea mzigo wote huku nakaa nyumbn, na soon watanipa ajira ila wakinikazia na mimi nawakazia kwenye pesa zao na bahat nzuri zipo kwenye mzunguko
 
Tatizo ubishoo na utoz mwingi ndo maana Ali disco telecom akaja kuingia kwenye petroleum ila vitu kichwani anavyo kiukweli
 
Lusekelo Kibona alifeli darasa la saba akaenda META akapiga 1.7 akaenda MZUMBE akapiga 1.3 akarudi kwao MBEYA kule FOREST karibu na MAHAKAMA KUU akaanzisha TUITION akaiita MAKUBI...Wadau wa MBEYA wanapajua MAKUBI,,,,ukitokea mahakama kuu MBEYA unakuwa kama unashuka ule mteremko na kwa mbele kidogo kushoto utapaona MAKUBI..

Makubi kuna mafundi selemala saivi ila wapo watu wanapiga PINDI huko
 


Correction

Martin ama Matogori kama alivyokuwa akiitwa shule ya msingi hakuwa TO darasa la saba kwa mwaka wao. TO darasa la saba mwaka ambao yeye alifanya mtihani alikuwa anaitwa Baraka William, akawa admited Ilboru kwa masomo ya O'Level

Martin alikuwa T.O O'level na A'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…