Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Duuh ni pisi kali mkuu?
Ametulia hana maringo au ni vinchen chede?

Pisi kali. Na bata anakula kama kawa

Ila darasani ni mabanda tu mwanzo mwisho.

Picha ipo kwenye profile yake linkedin.

Anakwambia yeye angesoma feza ama marian angevunja rekodi
 
Attachments

  • Screenshot_20230225-224306_Gallery.jpg
    154.1 KB · Views: 36
Pisi kali. Na bata anakula kama kawa

Ila darasani ni mabanda tu mwanzo mwisho.

Picha ipo kwenye profile yake linkedin.
Duuuh yupo bien huyu dogo 😊😊😊.

Hahaha daaah ni kweli asee
 
Nenda PWC utamkuta. Kama una mapesa mtongoze umuoe akuzalie watoto vichwa
Woiiih mi nipo mwaka wa 1 chuo mkuuu mi bado yankiii sana 😹 atakuwa mkubwa sana kwangu

Pwc ni wapi kwani
 
Woiiih mi nipo mwaka wa 1 chuo mkuuu mi bado yankiii sana 😹 atakuwa mkubwa sana kwangu

Pwc ni wapi kwani

PWC ni kampuni kubwa sana duniani ya mambo ya accounts

Ipo dunia nzima. Hapa Tanzania wana ofisi Dar es salaam

Hiyo kampuni huwa inaajiri best students tu hasa wa Mzumbe, udsm na udom na lazima sekondari wawe wamepiga Div 1.7 mpaka 10 na A level points 3 mpaka 6 tu,, na first class wapate chuoni hiyo ndio sifa za wafanyakazi wao.

Division 2 kwao ni kama division 0
 
Duuuh aseee noma sana.

Sema bora mimi sichukui hivyo vitu vya ma bcom sio fani yangu hiyo
 
Hao pia wanaajiriwa na pwc , maana kuna information system audit wanazifanya kwa wateja wao
Daaah mi sina sifa zozote hapo sio o level wala A level duuh

Labda ntacheki sehemu zingine tu sasa

Maana O level nina 1.13 A ya math
A level 2.11 PCM

Nimepania chuo nichukue best student πŸ˜•
 
Daaah mi sina sifa zozote hapo sio o level wala A level duuh

Labda ntacheki sehemu zingine tu sasa

Maana O level nina 1.13 A ya math
A level 2.11 PCM

Nimepania chuo nichukue best student πŸ˜•

Kaza sana chuo upige gpa kubwa itakusaidia sana. Gpa kubwa ina fursa nyingi sana. Na best student huwa hakosi ajira

Japo points zako hizo sio level ya kuingia PWC ukachukue milioni 2 zao kila mwezi after chuo tu.
 
Yeah hapo PWC sio riziki ila una uhakika kweli kuwa best student hawakosagi ajira mkuuu

Maana nimepanga apart from gpa niwe na skills za kutosha kwenye fani hii πŸ€”
 
Yeah hapo PWC sio riziki ila una uhakika kweli kuwa best student hawakosagi ajira mkuuu

Maana nimepanga apart from gpa niwe na skills za kutosha kwenye fani hii πŸ€”

Best student hakosi ajira. Pia huwa wanapewa scholarship za kufanya masters.

Baada ya hapo wanaomba nafasi za u lecture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…