Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Itakuwa hakumliza mkuu. .
Yko tu k/koo anafundisha tuition
Duuuh sijui tatizo mini?
Log ata physics yuko nondo sana sijui kama hiyo anafundisha?
Tosa kwenyewe alipelekwa kwenye combination akiwa na point 4 kwenye pcm maana alitia 1 ya 12 o level
 
kuna yeyote kati ya hao ma-TO aliyefanya jambo lolote katika teknolojia ya sasa?,au ni kupata A tu ndio akili?
 
1- nimetumia

2- plant & animal biology - nimetumia

3- nimefanya - panya, mende na chura ...

2009 niko medical school mwaka 3 piga hesabu six nimemaliza lini
Acha rongo we !!! 2005 juzi tuu wakati

1.biological science zimesambaa ni nani wa kizazi hicho kwenda kutafuta pointi zilizojificha kwenye "mkate"?

2.2003 na kuendelea scientific calculator zimejaa ni nani wa kizazi hicho wa kukokotoa kutumia rula?

3.2003 na kuendelea ndio tuition za A level zimeshamiri na vijana wakawa wanapiga A kwa kutumia material ambayo yamekwisha kuwa digested na kuwekwa kwenye madesa?

4.Sina shaka yoyote kuwa dissection umefanya lakini PANJA weupe kutoka mzumbe umewakuta au umetumia mapanya koko?
 
Hata wewe ni BRN na inaonekana

1. Slide ruler hukutumia

2. Vine and Rees (a.k.a) hukusoma wewe na labda na wewe ni kizazi cha madesa

3. Inaonekana wewe hakuwahi kufanya dissection ya wale panya weupe kutoka mzumbe

4.Inaonekana hata wakati unasoma hujawahi kusafirishwa na serikali kwa warrant huku ukipewa mkate wa kula njiani
Dah nimetumia na mkate mpaka leo nnao
 
Acha rongo we !!! 2005 juzi tuu wakati

1.biological science zimesambaa ni nani wa kizazi hicho kwenda kutafuta pointi zilizojificha kwenye "mkate"?

2.2003 na kuendelea scientific calculator zimejaa ni nani wa kizazi hicho wa kukokotoa kutumia rula?

3.2003 na kuendelea ndio tuition za A level zimeshamiri na vijana wakawa wanapiga A kwa kutumia material ambayo yamekwisha kuwa digested na kuwekwa kwenye madesa?

4.Sina shaka yoyote kuwa dissection umefanya lakini PANJA weupe kutoka mzumbe umewakuta au umetumia mapanya koko?

- sasa mkuu hata kama zilikuwepo mimi nilitumia vplant and animal biology .. au ulimezeshwa kila mtu lazima atumie BS, Alafu sio kila mtu alisoma DAR ...
 
Kuna T.O mmoja akiitwa Emily Patric wa mwaka 2003 Mzumbe. Nakumbuka enzi hizo tukisoma tuition maarufu hapa moshi ya YWCA akaja mshkaji mmoja akiitwa Munga. Huyu Munga alikuwa na dharau balaa lakini madude alikuwa anayajua. Yaani alikuwa amemeza understanding biology neno kwa neno. Alikuwa akitamba yeye kilichompeleka shule ni kiwa TO. Matokeo kutoka akawa wa sita kitaifa japo alikuwa na moja ya tatu. Mwenyewe akawa anapigia salute huyo TO Emily patric.
 
Tukiwa form five pale Pugu, kuna kichwa tulikikuta chenyewe kilikua form six PCM jamaa alikua ni mbaya sana wa namba. Form six waliomaliza February 2009 watakua wanamkumbuka huyu Pugu Boy sema jina limenitoka.

Pepa za namba za Mock, kwa Manyilizu zote hadi taifa jamaa aliwakimbiza balaa na akawa T.O wa number ule mwaka.

Mshikaji alienda UDSM Mineral Engineering ila sijui kwa sasa yupo wapi..?!!
 
Mimi nilikuwa Mdau sana Mchikichini.
O'level nilipiga namba kwa Mtata De Mtatuzi, jamaa kanipa A ya namba O'level.

Bado sijaona jamaa anae weza shindana Namba na Mtata De Mtatuzi. Hao akina Mwarami sijui Log boy hawafui dafu kwa jamaa.

Form 4 Class of 2010.
Hatar

Habari yako bwana mdogo general, kumbe na wewe umeshindia mihogo na juice za super deep hv juzi juzi?
 
Hahaha
ule ubishi pale Mchikichini kwa Moody Physics kwa hawa jamaa ilikuwa hatari.

Huyo Babu na Gwamaka walikuwa wanasoma namba kwa jamaa mmoja anaitwa Log,

Ilikuwa hatari
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom