Kila mtu acheze ngoma yakeNa nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa Mkombozi Wetu) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria majibu yenu na pia kusoma maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?