Hivi mpango anaweza kwenda kwenye swala ya idi? Halafu uzito inategemea na Imani ya mtu, kwa mimi muislam qur an naipa uzito kama wewe mkristo unavyoipa uzito pasakawe ambaye ni mzima unajua ni wapi pana uzito wa kwenda? Hayo mashindano hayana uzito kutolea speech ya taifa bora aende kwenye pasaka ita make sense
kanisa linapita katika nyakati tofauti tangu kale. Soma ujue ukristo na historia yake tangu zama za adamu. By the way ukristo hauna mipaka ya kimataifa na aina za watu duniani. Kila mtu duniani ni mkristo ikiwa alichaguliwa tangu akiwa tumboni mwa mama yake hata kama bado anateseka kwa kongwa la udini, siku yake ya wokovu ikifika ataona nuru na kuingia wokovuni na kuacha kung'ang'ania dini yakeShida ni uelewa tu yale siyo mashindano ya quran ni mashindano ya kuhifadhi quran . Kama ni swale la kumshindanisha mungu mbona makanisa ya Kirkhope kila siku yanaibuka yale siyo mashindano? Uliahasikia msikiti mpya unaosali togauti tngu uzaliwe?
yule ni kiongozi wa kitaifa na taifa hili haliongozwi kwa misingi ya dini fulani, anaweza akaenda na akatoa hotuba kwa taifa tena akiwa amevaa kanzu na kibarghashia. Hujawahi kuwaona marais wakristo wakiingia katika shughuli za waislam? Hata rais muislam anaweza kwenda kutoa hotuba kwa taifa kwenye shughuli ya wakristo. Uzuri kwa wakristo hakuna kizuiza hata akiingia kusali siku ya jumapili ni baraka tele. Wakristo hawana compilixation kwenye ibada zao kwa mgeni anayeingia kusali nao hata kama kuna matendo ya ibada hatafanya kwa kuwa hajui. Kule kila mtu anakaribishwa, Mungu hana upendeleoHivi mpango anaweza kwenda kwenye swala ya idi? Halafu uzito inategemea na Imani ya mtu, kwa mimi muislam qur an naipa uzito kama wewe mkristo unavyoipa uzito pasaka
Kaka kuna ugumu gani rais akienda taifa na mpango akaenda kanisani hiyo tar9?yule ni kiongozi wa kitaifa na taifa hili haliongozwi kwa misingi ya dini fulani, anaweza akaenda na akatoa hotuba kwa taifa tena akiwa amevaa kanzu na kibarghashia. Hujawahi kuwaona marais wakristo wakiingia katika shughuli za waislam? Hata rais muislam anaweza kwenda kutoa hotuba kwa taifa kwenye shughuli ya wakristo. Uzuri kwa wakristo hakuna kizuiza hata akiingia kusali siku ya jumapili ni baraka tele. Wakristo hawana compilixation kwenye ibada zao kwa mgeni anayeingia kusali nao hata kama kuna matendo ya ibada hatafanya kwa kuwa hajui. Kule kila mtu anakaribishwa, Mungu hana upendeleo
kwa hiyo umeona mimi mtu mmoja ndiye ninayetaka mbadishe ratiba yenu, sawa, kama umeona nina nguvu kubwa kuweza kubadili mipango yenu nyie mlio maelfu ya watu nashukuru ila muwe na desturi ya kuheshimu sikukuu za wenzenuAcha ujuha wewe, hayo ya diamond jubilee nimengine na ya taifa tar9 ni mengine, hakuna binadamu wa kubadili ratiba kisa wewe
Kwani kuna muingiliano gani mkuu? au unataka wengine wote wajifungie ndani kisa pasaka ya wakristoNa nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Open space ina shida gani? mpaka watu wasifanye jambo laoBaadhi ya waisilamu msiwe weupe kichwani,hakuna mashindano kweny Neno la Mungu .mashindano ya Qur'an tukufu nadhani mngeafanyia msikitini ila swala la kufanyanyia open space ni kanjanja.....Napo MJITATHIMINI
utaki acha kusikiliza na hujaambiwa lazima usikilizeBaadhi ya waisilamu msiwe weupe kichwani,hakuna mashindano kweny Neno la Mungu .mashindano ya Qur'an tukufu nadhani mngeafanyia msikitini ila swala la kufanyanyia open space ni kanjanja.....Napo MJITATHIMINI
Wakristo waachwe / tuachwe Kudharauliwa Awamu hii ya Muislamu Mwenzako / Mwenzenu.
kwani uliambiwa makanisa yatafungwa kwa vile kutakuwa na mashindano ya kusoma Qurani?
Kila mtu ana dini yake anafanya mambo yake bila bugudha, 'maashey khof' - hakuna hofu.
Sasa hi hoja yako in Uhusiano gani na thread ya mleta mada mkuu?
Basi Kama ulishindwa kusoma kilichoandikwa si ungesoma tu tittle ungeelewa anakusudia kusema Nini?
Swali ni kwa Nini kilele Cha siku ya Quran iwe siku ya maadhimisho ya pasaka? Kwa nini wasingevuta ikawa jumapili ile nyingine,ili jumapili hii ya pasaka waheshimu wenzao wakristo washerekee sikukuu yao ambayo waliisubiria kwa siku 40(kwaresma)?
Hivyo ndivyo ilipaswa kuwa. Ni swala la ustaharaabu tu,na si kushindana.
Wanafunga mtaa kwamba barabara hazipitiki??Mimi nimekaa na waislamu miaka mingi Sana,ninachoweza kusema Ni kwamba waislamu Wanapenda kushindana na wakristo ilhali wakristo hawana time ya kushindana na waislamu.
Sehemu niliyokaa,siku za sikukuu za kikristo lazima hiyo siku waislamu wafunge barabara kufanya maadhimisho ya siku zao. Utakuta mtaa mzima wamefunga taa usiku na vitambaa vinapepea barabara zote. Lakini unakuta baada ya ike jumapili kupita, jumapili inayofuata wanakuwa hawana kabisa utaratibu wa kufanya shughuli Kama ile Hadi unabaki kujiuliza Sasa waislamu kwa nini ile jumapili wasingewaacha wenzao wakasherekea sikukuu yao vizuri Kisha wao(waislamu)wakaadhimisha hiyo siku yao jymapili ya leo?
Miaka ya mwanzo kuishi nao nilidhani ni coincidence wanapofanya Hili swala la kufunga mitaa siku za sikukuu za kikristo ili nao washerekee siku zao. Ila baadae nikaja kugundua lengo lao Ni kuzima sikukuu za kikristo zisisikike kabisa. Sijui kwa nini wale jamaa walikuwa washari kiasi kile.
AiseeJibu ni rahisi sana, alisurubiwa siku ya ijumaa kuu, siku ya tatu akafufuka katika watu.
Yesu ameikuta Pasaka ikisherehekewa, Sasa matendo yaliyotokea ni Salama ya Ukristo tangu ijumaa Kuku.
Kuna watu hapa hapa mjini wamezaliwa tarehe 25 December, Kwahiyo siku ya Christmas wao ni birthday yao.
Cha msingi uelewe Yesu ameikuta Pasaka.
SawasawaKwa sababu hatuna dini ya kitaifa nchi hii, siku hiyo ya pasaka hata Wahindi nao wakiamua kuwa na sherehe yao ya kuadhimisha mungu wao ngo'ombe ni sawa tu.
Wakristo huwa hatuna shida maana Mungu wetu ni Mkubwa.
Hao wengine ni wadhaifu sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiFor
Acha wivu wewe nchi sio ya wakristo hii. Kama unateseka tulia dawa ikuingieNa nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?