Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

Kwa hyo waliosoma old moshi wote sasa hivi ni ma engineer kwa ulivyoandika hapo
 
Old school tumepiga sana hapo na kina Contour, Chura, Billo boy, Macgun, Shofu, kipindi hicho tunacheza mechi na polisi wa hapo ccp na kuwachapa magoli na virungu juu tulikuwa watukutu kweli mabweni yote kuanzia Shengena,Meru, Hanang, Kibo na Mawenzi tunalala ilikuwa full shangwe. By then niliishi Kibo 5 na kwenye bed langu juu kulikiwa na tobo la kuingia darini incase ya soo nazama na kuchemsha maji kwa direct heater misumari ila tulikuwa mapopo balaa tukatoboa Bro wangu nae tulikuwa nae now Dr. Somewhere Dar, mimi naendelea kupambana na hali yangu sehemu fulani sikuwa mjinga na nilipata ka BA. kanani push kwenye maisha kitaa
 
Sio Baharia Iddy kweli huyu? Anyway Mawenzi 10 karibu na Kibo 11 ndio lilikuwa bweni langu
 
Tufahamiane kwa majina yetu halisi au hizihizi USER ID za JamiiForums?
 
Bila shaka itakua ni cube ya kwanza mkono wa kushoto ukiwa unatokea MAWENZI 10
 
Nimesoma old Moshi form five na six. Wakati niko form 5 Mhe Olesenda alikuwa form 6 na alikuwa head prefect. Huyu jamaa kiukweli uongozi alikuwa na kipaji nao tokea shuleni. Nakumbuka tukio moja alituongoza tukagomea chakula baada ya kubaini kwamba ration ya nyama mpishi mkuu na wenzake walikuwa wanaichakachua na kupunguza nyama na kuweka mifupa. Ilikuwa balaa siku hiyo na kwa kweli baada ya hapo mambo yakabadilika. Pia tulisoma na mtoto wa Cleopa Msuya ambaye yeye alikuwa O level, dogo alikuwa kibonge na alikuwa anawskimbiza kweli wenzake darasani.
 
My school......

Shengena one ndio bweni langu...tumekula sana pilau kwa kuongoza usafi kila mara
Bweni langu hili.. Sijui ulikuwa mwaka gani maana intake yetu kilitokea kisa cha jamaa yetu mmoja alikuwa na miadi na demu wake kutoka shule ya wasichana ya Ashira kama sikosei(ambao siku 2 zilizopita walikuja shuleni kwetu kwenye disco na jamaa akaopoa. Sasa kwa vile kipindi kile disco [emoji1739] likiisha wasichana wanaitwa rokoo mmoja mmoja kuingia kwenye Bus kurudi shuleni kwao, ilikuwa ukiopoa mnapanga siku demu anakuja mjini ndiyo mnakutana kubanduana) hivyo siku ya ahadi jamaa akaenda mjini pale stend ya ma Bus kuna wasambaa walikuwa wanauza Viagra ya kienyeji iliyokuwa inaitwa MKUYATI ambayo ilikuwa ni balaa. Jamaa skainunua, akaenda pale Shangazi Hotel akanunua chai ya rangi na kuweka ile dawa (ni ya unga) na kunywa. Kwa bahati mbaya demu siku hiyo hakuja alinyimwa ruhusa shuleni, bwanaaa weweee jamaa yetu wa Shengena aliteseka maana ile erection ya mashine ilikuwa siyo ya kitoto, kuanzia asubuhi mpaka jioni mashine iko wima tuu. Akapewa kila aina ya ushauri mpaka kupiga nyeto, akapiga 2 rounds but baada ya muda kidogo ngoma imesimama daaah.. [emoji23] [emoji23]
 
Enzi zetu Physics tulifundishwa na walimu kutoka Urusi. Yaani yule mwalimu alikuwa ni full engineer na alifufua mpaka Lori la shule, na baadae tukaletewa mtambo wa sinema kutoka Urusi, na sinema maarufu iliitwa KUKARACHA.. [emoji23] [emoji23]
 
Kuna wakati ukienda Muhimbili wote wametoka Old Moshi (PCB) na COET ni kutoka Old Moshi (PCM). Kilichokuwa kinasaidia ni KUBUNDI na ndama kumletea Uji na chakula ng'ombe! Hiyo ni miaka ya 1973! Moshi Sec we acha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenikumbusha NDAMA... Nilikuwa na ndama wangu msambaa tulielewana sanaa mpaka nikamuachia godoro na blanket nilipomaliza..
 
Kwenye majadiliano hayo zungumzia suala la ukarabati maana shule imechoka miundombinu hasa kipindi cha mvua na matope. Nimesoma jirani ila Old Moshi nimeenda sana
Shule ilishakarabatiwa mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…