Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

Sasa mimi bed langu lilikuwa hapo hapo popo juu ya locker langu nilikuwa nabundia hapo
 
Ni kesho, jubilei miaka 100
IMG-20221019-WA0016.jpg
 
Wale madaktari msimame dkw Kimaro wa Biology, nasikia aliuawa na Mumewe, Headmaster Mtui, mzee Temba, na wenginei
Sijaelewa hapo mkuu, kwa mujibu wa taarifa yako fuli ni kwamba Kimaro wa Bios aliuwa na mumewe, so hapo HM Mtui, Temba na wengine nao walishiriki kumuua au ipoje hii? Hebu weka sawa hii habari yako mkuu. Naomba kuwasilisha from Kibo 5 hapa
 
Wale madaktari msimame dkw Kimaro wa Biology, nasikia aliuawa na Mumewe, Headmaster Mtui, mzee Temba, na wenginei.

Madaktari walosomeshwa Biology na Mama kimaro wasimame dk moja wamkumbuke.
Mtui alikua H/MASTER,Temba mwalimu wa nidhamu wote ni marehemu
 
Hapo sasa umeeleweka mkuu awali ulikuwa bado hujaenda DH kupata poridge?
 
Nikikutana na Reginald Mengi siku moja akanisalimu,"Habari za siku nyingi.?" Nikabakia kushangaa, kwani tumeonana lini, mpaka nilipofahamu kuwa alisoma Old Moshi kama mimi.

Dr(au Prof?) Massawe, by the way, amesoma Old Moshi. Yule aliyekuwa daktari bingwa wa watoto. Massawe, tulikuwa dormitory moja. He was sleeping on the bed right next to mine.
Mengi kasoma Siha
 
Hivi yule dereva wa ile roli ya Shule aina ya Leyland commet Daf aliitwa nani? Alikuwa kama ras mmoja asiyejitambua rafu sana
 
Old school tumepiga sana hapo na kina Contour, Chura, Billo boy, Macgun, Shofu, kipindi hicho tunacheza mechi na polisi wa hapo ccp na kuwachapa magoli na virungu juu tulikuwa watukutu kweli mabweni yote kuanzia Shengena,Meru, Hanang, Kibo na Mawenzi tunalala ilikuwa full shangwe. By then niliishi Kibo 5 na kwenye bed langu juu kulikiwa na tobo la kuingia darini incase ya soo nazama na kuchemsha maji kwa direct heater misumari ila tulikuwa mapopo balaa tukatoboa Bro wangu nae tulikuwa nae now Dr. Somewhere Dar, mimi naendelea kupambana na hali yangu sehemu fulani sikuwa mjinga na nilipata ka BA. kanani push kwenye maisha kitaa
Namba za Hangang na Shengena. Muda mwingi kwa dukani kwa Mangile, fegi na mneli
 
Unakumbuka donati za bubu?
Sana tu mpaka nikamtongoza Bubu mwenyewe nilipata kibangala pale Meru 16 navuka fensi tu kwenda kwenye kistone chake.Kwa Mangile kule kucheki blue hadi 8 usiku tukiwa 100 alafu watu wanatoka mdogo mdogo mpaka wanabaki 2
 
Back
Top Bottom