Xystus
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 291
- 330
Haha kibo 5 cube ya 1Nimekumbuka Bangaluu la KIBO 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kibo 5 cube ya 1Nimekumbuka Bangaluu la KIBO 5
Sio madam Joyce kweliYule mama wa Chemistry sijawahi kujua jina lake halisi zaidi ya "Madam Quantum"[emoji3][emoji3]
Old school tumepiga sana hapo na kina Contour, Chura, Billo boy, Macgun, Shofu, kipindi hicho tunacheza mechi na polisi wa hapo ccp na kuwachapa magoli na virungu juu tulikuwa watukutu kweli mabweni yote kuanzia Shengena,Meru, Hanang, Kibo na Mawenzi tunalala ilikuwa full shangwe. By then niliishi Kibo 5 na kwenye bed langu juu kulikiwa na tobo la kuingia darini incase ya soo nazama na kuchemsha maji kwa direct heater misumari ila tulikuwa mapopo balaa tukatoboa Bro wangu nae tulikuwa nae now Dr. Somewhere Dar, mimi naendelea kupambana na hali yangu sehemu fulani sikuwa mjinga na nilipata ka BA. kanani push kwenye maisha kitaa
Mkuu tulikuwa wababe kweli kweli siyo kitoto mob psychology nayo iliteka akili zetuNyie jamaa mlikua mnafujo za kitoto Sana ,mlikuja Moshi tech,tukawafunga mkalianzisha fujo la hatari,Moshi nzima hakuna shule badae ikawa inatamani kucheza na nyie,maana mkishinda Ni fujo,mkifungwa Ni fujo,
Kwenye ubabe ilo nakubali,alafu ubabe ilikuakinachangua shule ilikua na mchanganyiko wa watu wengi kutoka mbali mbali ,na sio ukanda wa Moshi na Arusha pekee,shule zilikuaga chache,unakutana pande la mtu limetoka Kanda ziwa uko ndani ndani,limeshiba kweli kweli,songea uko,kigoma kwa hiyo ubabe ubabe tuMkuu tulikuwa wababe kweli kweli siyo kitoto mob psychology nayo iliteka akili zetu
Hukutaka tuuone? Waambie Mods waufute tutafungua wetu alaaa!! Itakuwa wewe ulipita old siye tulisoma pale siyo kupita Bubu muuza madonati na Mangire wanatufahamu tulikuwa nyoko kuanzia shule, kitandu, rau hadi international school of Moshi kulikuwa na kijiwe cha banana wine bythen, futa uzi wakoUzi nimeupost week mbili zilizopita Sasa nashangaa leo ndio mnaibuka
Ila kama ni ww kwenye PF yako nisamehe nitumie nambari yako PMUzi nimeupost week mbili zilizopita Sasa nashangaa leo ndio mnaibuka
Umenukumbusha mbunge Masumbuko Lamwai,kilikua kichwa sana BungeniChristopher Ole Sendeka pia alisoma Old Moshi
Zote zimekarabatiwaShule inaitwa MOSHI SEKONDARI ,Ukarabati kwenye zile shule kongwe zilizokarabatiwa sidhani kama hii iliachwa I hope itakaua ilikarabatiwa...Mazingira ya shule hii ni mzuri Ila nilishangaa majengo yake na ramani yake inafanana Na Same Secondary
Huyo dogo yupo uarabuniNimesoma old Moshi form five na six. Wakati niko form 5 Mhe Olesenda alikuwa form 6 na alikuwa head prefect. Huyu jamaa kiukweli uongozi alikuwa na kipaji nao tokea shuleni. Nakumbuka tukio moja alituongoza tukagomea chakula baada ya kubaini kwamba ration ya nyama mpishi mkuu na wenzake walikuwa wanaichakachua na kupunguza nyama na kuweka mifupa. Ilikuwa balaa siku hiyo na kwa kweli baada ya hapo mambo yakabadilika. Pia tulisoma na mtoto wa Cleopa Msuya ambaye yeye alikuwa O level, dogo alikuwa kibonge na alikuwa anawskimbiza kweli wenzake darasani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenikumbusha NDAMA... Nilikuwa na ndama wangu msambaa tulielewana sanaa mpaka nikamuachia godoro na blanket nilipomaliza..
Watoto wa juzi
Enzi zetu Physics tulifundishwa na walimu kutoka Urusi. Yaani yule mwalimu alikuwa ni full engineer na alifufua mpaka Lori la shule, na baadae tukaletewa mtambo wa sinema kutoka Urusi, na sinema maarufu iliitwa KUKARACHA.. [emoji23] [emoji23]
Hiyo Cube kulikua na jamaa muongo muongo anaitwa MIGO na Mzee wa Mishe mishe kijana wa ArushaHaha kibo 5 cube ya 1
Siwezi kupasahau hapo,nilishawahi pigwa shot ya shingo na waya wa umeme unaotokea kwenye huo uwazi😂😂😂Wewe jamaa una ramli balaaaaa mpaka nimeogopa du!! Ulitoka mwaka gani pale Old tuanzie hapo maana umepatia 💯✓
Wewe mbona ni kama Baraka Mzee wa Mishe mishe?😂😂😂Watakaokuwepo eneo la tukio watupie picha za matukio mbalimbali yatakayokuwa yakiendelea hapo DH kwa mzee Omary. I miss sana mzee Omary siku ya wali nilikiwa napambanisha Pot la table yetu lipo full na ndiye Saver wa siku za J3 mchana na ijumaa mchana wali days.