Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

Sasa mimi bed langu lilikuwa hapo hapo popo juu ya locker langu nilikuwa nabundia hapo
 
Wale madaktari msimame dkw Kimaro wa Biology, nasikia aliuawa na Mumewe, Headmaster Mtui, mzee Temba, na wenginei
Sijaelewa hapo mkuu, kwa mujibu wa taarifa yako fuli ni kwamba Kimaro wa Bios aliuwa na mumewe, so hapo HM Mtui, Temba na wengine nao walishiriki kumuua au ipoje hii? Hebu weka sawa hii habari yako mkuu. Naomba kuwasilisha from Kibo 5 hapa
 
Sijaelewa hapo mkuu, kwa mujibu wa taarifa yako fuli ni kwamba Kimaro wa Bios aliuwa na mumewe, so hapo HM Mtui, Temba na wengine nao walishiriki kumuua au ipoje hii? Hebu weka sawa hii habari yako mkuu. Naomba kuwasilisha from Kibo 5 hapa
Wale madaktari msimame dkw Kimaro wa Biology, nasikia aliuawa na Mumewe, Headmaster Mtui, mzee Temba, na wenginei.

Madaktari walosomeshwa Biology na Mama kimaro wasimame dk moja wamkumbuke.
Mtui alikua H/MASTER,Temba mwalimu wa nidhamu wote ni marehemu
 
Hapo sasa umeeleweka mkuu awali ulikuwa bado hujaenda DH kupata poridge?
 
Mengi kasoma Siha
 
Hivi yule dereva wa ile roli ya Shule aina ya Leyland commet Daf aliitwa nani? Alikuwa kama ras mmoja asiyejitambua rafu sana
 
Namba za Hangang na Shengena. Muda mwingi kwa dukani kwa Mangile, fegi na mneli
 

Unakumbuka donati za bubu?
Sana tu mpaka nikamtongoza Bubu mwenyewe nilipata kibangala pale Meru 16 navuka fensi tu kwenda kwenye kistone chake.Kwa Mangile kule kucheki blue hadi 8 usiku tukiwa 100 alafu watu wanatoka mdogo mdogo mpaka wanabaki 2
 
Dah huu Uzi umetokea kunivutia sana sijui kwanini... Umenipa huzuni na furaha at the same time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…