Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?

Maoni yenu wakuu.
Mimi binafsi sioni umuhimu wa kufanya sherehe za huo Muungano, sasa sherehe za nini wakati Tanganyika hatuutaki the same hata huko visiwani hawautaki pia. Bora zibaki sherehe za Uhuru na mapinduzi. Ila ile sherehe ya Muungano sijui nani huwa anasherekea
 
Uwanja ulikuwa mtupu kabisaaaaaaa

Chalamila alifanya kazi ya kupokea viongozi tu wananchi hawakuwepo uwanjani at all.

Sasa mtu aache kupambana na maji yaliyoingia ndani ya nyumba yake kwa sababu ya mafuriko aende uwanjani mbona haiingii akilini.

Mtu aache kupambania mkate wake wa siku aende uwanjani kufanya nini.
 
Back
Top Bottom