mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kabisa Mkuu 🙏Gwaride mambo ya enzi zile mkuu 😂😂 baada ya Vita ya Kagera 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu 🙏Gwaride mambo ya enzi zile mkuu 😂😂 baada ya Vita ya Kagera 😃
Na huo ndio ukweli wenyewe !🙏Hold on.! unaonekana unauelewa hafifu sana.
Hapa tunazungumzia upungufu wa watu uwanjani. Hoja yangu ni sababu ya mvua.
Watanzania wameanza lini kutoelewa Muungano mpaka ije ghafla leo wasiende? Tangia miaka mingi watu hawaelewi huu Muungano lakini haiwazuii kwenda uwanjani.
Sababu ya mvua hata mtoto mdogo anaweza kujua kwakua ni week sasa mvua inanyesha kubwa na kuzua taharuki mtaani.
Wewe kama unaishi mtaa wa uwanja wa Taifa inahusika vipi? acha ujinga kijana leta hoja.
Huu muungano ni muda mrefu watu hawauelewi si Bara sio visiwani ila haijawahi zuia watu kwenda uwanjani labda ulete sababu nyingine naweza kukuelewa.
Mbona machadema walioandamana Arusha katikati ya mvua kali?Hold on.! unaonekana unauelewa hafifu sana.
Hapa tunazungumzia upungufu wa watu uwanjani. Hoja yangu ni sababu ya mvua.
Watanzania wameanza lini kutoelewa Muungano mpaka ije ghafla leo wasiende? Tangia miaka mingi watu hawaelewi huu Muungano lakini haiwazuii kwenda uwanjani.
Sababu ya mvua hata mtoto mdogo anaweza kujua kwakua ni week sasa mvua inanyesha kubwa na kuzua taharuki mtaani.
Wewe kama unaishi mtaa wa uwanja wa Taifa inahusika vipi? acha ujinga kijana leta hoja.
Huu muungano ni muda mrefu watu hawauelewi si Bara sio visiwani ila haijawahi zuia watu kwenda uwanjani labda ulete sababu nyingine naweza kukuelewa.
kwani Lini watu walijaa ? Kadri miaka inavyozidi kwenda watu wanaendelea kuona hakuna umuhimu wowte. Lini ushawahi kuona watu wamejazana?Hold on.! unaonekana unauelewa hafifu sana.
Hapa tunazungumzia upungufu wa watu uwanjani. Hoja yangu ni sababu ya mvua.
Watanzania wameanza lini kutoelewa Muungano mpaka ije ghafla leo wasiende? Tangia miaka mingi watu hawaelewi huu Muungano lakini haiwazuii kwenda uwanjani.
Sababu ya mvua hata mtoto mdogo anaweza kujua kwakua ni week sasa mvua inanyesha kubwa na kuzua taharuki mtaani.
Wewe kama unaishi mtaa wa uwanja wa Taifa inahusika vipi? acha ujinga kijana leta hoja.
Huu muungano ni muda mrefu watu hawauelewi si Bara sio visiwani ila haijawahi zuia watu kwenda uwanjani labda ulete sababu nyingine naweza kukuelewa.
Mwamposa anajazaga Lupaso achilia mbali hapo padogo Shamba la bibi 😂😂kwani Lini watu walijaa ? Kadri miaka inavyozidi kwenda watu wanaendelea kuona hakuna umuhimu wowte. Lini ushawahi kuona watu wamejazana?
Hoja ni hakuna msukumo na watu hawaelewi nini kinafanyika hapo
Anashindwa kuelewa vitu vyepesi kama hivyo😂😂Mbona machadema walioandamana Arusha katikati ya mvua kali?
Kujaza Uwanja hata kuwe na jua la wastani kunahitaji hamasa na kama unabisha waulize wasemaji wa Simba na Yanga dadeki 😄😄
Mtu pamoja na muungano vyote, vipo upande wa kushoto kwa sasa....Mtu hapendwi au Muungano?
Ina maana mvua yote hiyo hamuioni au ndio yale yale tu kukazafuvu.com?Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
Ivi hata watu 50, wamefika kweli 🤔🤔, ni ishara tosha huyo mtu hapendwi.
sasa unalinganisha watu 100 na kujaza uwanja una akili timamu?Mbona machadema walioandamana Arusha katikati ya mvua kali?
Kujaza Uwanja hata kuwe na jua la wastani kunahitaji hamasa na kama unabisha waulize wasemaji wa Simba na Yanga dadeki 😄😄
Sasa shida ni hamasa au watu wamegoma sababu hawauelewi Muungano?Anashindwa kuelewa vitu vyepesi kama hivyo😂😂
Kwani watu wanafata kuelewa kitu gani kipya?sasa unalinganisha watu 100 na kujaza uwanja una akili timamu?
Kwahiyo shida ni hakuna hamasa na sio Watu wamegoma kisa hawaelewi Muungano?
hamasa inakuja baada ya kuelewa na kupenda ktu. Na si sababu ya mvua. Ndio maana mekuambia simba na yanga ingecheza hakuna sehem ya kukanyaga hapo sahiv. Sababu s mvua sababu watu hawaelewi ChochoteSasa shida ni hamasa au watu wamegoma sababu hawauelewi Muungano?
Plus kwenye TV unaona vizuri zaidi kuliko aliepo uwanjani.ukizingatia kuna mvua na mafuriko njiani,nyumbani huna uhakika wa kuacha chochote,halafu uende kupiga miayo uwanjani kama makatuni mbele ya walioshiba
i WISH SABABU INGEKUWA NI HIYO....Mungu ibariki Tanzania...Mleta uzi sometimes punguza kuwa na akili finyu ina maana huoni mvua tena zimenyesha mfululizo siku ya 4 hii?
Sio uwanjani tu hata makanisani sikuhizi watu ni wachache sababu ya mvua.