jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
Pascal Mayalla, not really, naamini miaka ijayo atakuja mkristu na asiwe mkatoliki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri mpaka itokee!.Pascal Mayalla, not really, naamini miaka ijayo atakuja mkristu na asiwe mkatoliki.
Kuna mchango wowote ulio documented kwamba wakatoliki kama taasisi walipigania uhuru? ili tuwe na factsMkuu Yericko, Asante kwa hii, kumbe ni kanisa letu, Takatifu, Katoliki la Mitume, ndilo limetupatia uhuru na sio wale wazee wa naniliu?. Kila siku, nimekuwa nikijiuliza, kwani akiwa Mkristu, ni lazima awe Mkatoliki?!. Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa, Mkatoliki na mwaka mmoja kabla Magufuli hajaingia, kuna kitu nilikisikia hapa, japo sikukisema kumhusu Magufuli
Na kweli ikatokea kweli kuwa ni Magufuli, na Magufuli ni Mkatoliki...Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...www.jamiiforums.com
This is a very amazing coincidence, kila akiwa Mkristu, inatokea tuu, lazima anakuwa ni Mkatoliki!.
P
Katafute kitabu cha Father SivalonKuna mchango wowote ulio documented kwamba wakatoliki kama taasisi walipigania uhuru? ili tuwe na facts
Mzee wa copy and paste, alishawahi kuleta picha za kinamama wa Dar wakati wa kudai uhuru halafu akasema ni masista wa kizungu, anawadanganya hawa wa kizazi cha facebook na twitter.Nilivyoona habari za wajesuit nikaachia hapo..
Huwajui wajesuit ndugu na huwajui kabisa unaunga stori za vijiweni
Mwinyi na kikwete nao walichaguliwa hapo mtakatifu petrolPale st.peters ndipo maraisi huwa wanachaguliwa kabla ya kwenda kwenye uchaguzi wa maigizo pale dodoma!!!PASCAL MAYALLA ANALIJUA HILO!IPO SIKU NA YEYE ATAIBUKA MAANA ANASALI PALE!!!!NA MIMI NTAJITAHIDI KUANZIA SASA!!!
Ndo maana wachina hawataki kusikia habari za Kuigawa nchi yao kwenye parokia, vigango sijui kitu gani vya kanisa katoliki.Hakizungumzii mapambano dhidi ya ukoloni bali wakoloni kutawala Tanganyika kupitia dini kama hivi sasa,leo askofu kwenda dodoma toka Shinyanga anateuliwa na Baba mtakatifu vatican,Hospitali kama yetu ya Bugando ina ruzuku,hailipi kodi,wafanyakazi wanalipwa na Serikali bado ni ghali,hiyo super profit nani wanachukua? Ni paskali,Pengo au zinaenda Vatican? Haishangazi kanisa katoliki ni tajiri zaidi duniani lakini pia haliwajibiki kwa yoyote! Pascal Mayalla
Unamaajisha masister wa kanisa katoliki waliomsindikiza Mwalimu Uwanja wa ndege kwenda UNO?Yeriko kwenye mada za haya mambo kuna moja aliandika bibi Cecil Matola wakati ni mwanaume mpaka Pascal alivyomkosoa ndiyo akaedit
Nyingine kuna picha kina bibi titi wamevaa mabaibui ya kitambo hata bibi yangu Mwajuma bint Bakari RIP nilimuona nalo yeye akasema wale ni masister wa kikatoliki.
Toka hapo sijisumbui kusoma hii migazeti yake
Usikariri mambo. Vatican imejitoa kuendesha makanisa na shughuli zote zenye kumilikiwa na kanisa katoliki tangu miaka ya 2000 mwanzoni.Hakizungumzii mapambano dhidi ya ukoloni bali wakoloni kutawala Tanganyika kupitia dini kama hivi sasa,leo askofu kwenda dodoma toka Shinyanga anateuliwa na Baba mtakatifu vatican,Hospitali kama yetu ya Bugando ina ruzuku,hailipi kodi,wafanyakazi wanalipwa na Serikali bado ni ghali,hiyo super profit nani wanachukua? Ni paskali,Pengo au zinaenda Vatican? Haishangazi kanisa katoliki ni tajiri zaidi duniani lakini pia haliwajibiki kwa yoyote! Pascal Mayalla
Yeriko, hao kinamama waliovaa baibui mmojawapo ni Marehemu Bibi Titi Mohamed, hao ni wapigania uhuru japo kuna siku ulisema ni masista wa kanisa katoliki.Unamaajisha masister wa kanisa katoliki waliomsindikiza Mwalimu Uwanja wa ndege kwenda UNO?
View attachment 1287260
Wachina hawakutawaliwa na wazungu. Sisi tuliotawaliwa tumejikuta tukizama ndani ya secularism.Ndo maana wachina hawataki kusikia habari za Kuigawa nchi yao kwenye parokia, vigango sijui kitu gani vya kanisa katoliki.
Unakuwa unatengeneza serikali ndani ya serikali
Wakatoliki wamesomesha kina Mkapa, Kahama, Kazaura na wazazi wetu katika shule zao na hao waliosomeshwa ndio waliokuja kuwa wataalam wa kwanza baada ya Tanzania kuwa huru.Kuna mchango wowote ulio documented kwamba wakatoliki kama taasisi walipigania uhuru? ili tuwe na facts
Wanaojiita wadau wa siasa Tz wana sura mbili mkuu,usiumize sana kichwaUzi mrefu kumbe point ni kuuza kitabu
Yericko huaminiki hata vitabu vyako hakuna wa kuviamini , ulintukana sana mzee lowassa ,alipokuja chadema ukamsafisha ,
Huaminiki hata kidogo, hivo vitabu vyako baki navyo mwenyewe
😆😆😆Ngoja Mohamed said akusikie!