Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Mkuu Yericko, Asante kwa hii, kumbe ni kanisa letu, Takatifu, Katoliki la Mitume, ndilo limetupatia uhuru na sio wale wazee wa naniliu?. Kila siku, nimekuwa nikijiuliza, kwani akiwa Mkristu, ni lazima awe Mkatoliki?!. Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa, Mkatoliki na mwaka mmoja kabla Magufuli hajaingia, kuna kitu nilikisikia hapa, japo sikukisema kumhusu Magufuli
Na kweli ikatokea kweli kuwa ni Magufuli, na Magufuli ni Mkatoliki...Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...www.jamiiforums.com
This is a very amazing coincidence, kila akiwa Mkristu, inatokea tuu, lazima anakuwa ni Mkatoliki!.
P
Inasemwa hata akiwa Musilama basi awe amesoma huko ukatoliki.