ngozimbili
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 1,398
- 1,012
Kupikia mtu na kusomesha yote hayana uhusiano moja kwa moja na kudai uhuruWakatoliki wamesomesha kina Mkapa, Kahama, Kazaura na wazazi wetu katika shule zao na hao waliosomeshwa ndio waliokuja kuwa wataalam wa kwanza baada ya Tanzania kuwa huru.
Kupigania uhuru sio lazima mtu ampikie chakula Mwalimu Nyerere ndipo eti awe anafaa kuitwa mpigania uhuru.
Kusomesha hata Agha Khan amesomeshaWakatoliki wamesomesha kina Mkapa, Kahama, Kazaura na wazazi wetu katika shule zao na hao waliosomeshwa ndio waliokuja kuwa wataalam wa kwanza baada ya Tanzania kuwa huru.
Kupigania uhuru sio lazima mtu ampikie chakula Mwalimu Nyerere ndipo eti awe anafaa kuitwa mpigania uhuru.
Unataka kusema sasa pesa haziendi Vatican siyo? zinatumika hapahapa.kama ni kweli ni jambo la kushukuru pesa na kodi za wa Tanzania zitumike hapahapa.Usikariri mambo. Vatican imejitoa kuendesha makanisa na shughuli zote zenye kumilikiwa na kanisa katoliki tangu miaka ya 2000 mwanzoni.
Ndio maana kila mwaka kanisa limeanzisha utaratibu wa harambee maalum inayoitwa mavuno.
Tarehe ya mavuno inapangwa na parokia husika ingawa mara nyingi makanisa yote hupanga tarwhe za mwisho wa Novemba au Desemba mwanzoni.
Nyerere asingesomeshwa na wazungu mimi na wewe tungemjua? asingekuwa na elimu ya Tabora nani angemjua?.Kupikia mtu na kusomesha yote hayana uhusiano moja kwa moja na kudai uhuru
Ndio mtulize vichwa muachane na siasa za chuki dhidi ya ukatoliki na ukristo kwa ujumla.Kusomesha hata Agha Khan amesomesha
Vatican hawashughuliki tena na masuala ya ndani ya ukatoliki wa Tanzania, tunajitegemea kwani sisi ni watu wa maendeleo.Unataka kusema sasa pesa haziendi Vatican siyo? zinatumika hapahapa.kama ni kweli ni jambo la kushukuru pesa na kodi za wa Tanzania zitumike hapahapa.
Tatizo siyo uwekezaji kama kuwekeza hata wakoloni waliwekeza kwenye shule,afya,miundombinu nk,tatizo nani anafaidika kwa gharama za nani? Na kwa malengo gani?Vatican hawashughuliki tena na masuala ya ndani ya ukatoliki wa Tanzania, tunajitegemea kwani sisi ni watu wa maendeleo.
Popote utakapokuta ukatoliki upo utakuta kuna mahospitali, kuna shule za msingi na sekondari, utakuta uwepo wa maisha chanya, huwa tunaendeleza mahali tunapohamia.
Jamii inafaidika, vizazi vya leo na kesho vinafaidika.Tatizo siyo uwekezaji kama kuwekeza hata wakoloni waliwekeza kwenye shule,afya,miundombinu nk,tatizo nani anafaidika kwa gharama za nani? Na kwa malengo gani?
Nazungumzia faida inayopatikana kwenye uwekezaji? Hayo ya vizazi kufaidika hata shule za private wanaweza kusema hivyo hivyo lakini faida inakwenda wenye umilikiJamii inafaidika, vizazi vya leo na kesho vinafaidika.
Faida ya uwekezaji inakwenda kwa uongozi wa kanisa katoliki Tanzania. Hayo mawazo yako kwamba miradi yote ya kikatoliki inapeleka faida nje ya nchi ni mawazo yaliyopitwa na wakati yaondoe kichwani mwako.Nazungumzia faida inayopatikana kwenye uwekezaji? Hayo ya vizazi kufaidika hata shule za private wanaweza kusema hivyo hivyo lakini faida inakwenda wenye umiliki
Ngoja nikupe shule kuhusiana na hospitali ya bugando na hospitali zingine za Makanisa zinazoitwa hospitali teule.Hakizungumzii mapambano dhidi ya ukoloni bali wakoloni kutawala Tanganyika kupitia dini kama hivi sasa,leo askofu kwenda dodoma toka Shinyanga anateuliwa na Baba mtakatifu vatican,Hospitali kama yetu ya Bugando ina ruzuku,hailipi kodi,wafanyakazi wanalipwa na Serikali bado ni ghali,hiyo super profit nani wanachukua? Ni paskali,Pengo au zinaenda Vaticagn? Haishangazi kanisa katoliki ni tajiri zaidi duniani lakini pia haliwajibiki kwa yoyote! Pascal Mayalla
Na faida wanagawana vipi? Na Cag anakagua share za serikali?Ngoja nikupe shule kuhusiana na hospitali ya bugando na hospitali zingine za Makanisa zinazoitwa hospitali teule.
Mfumo huu umeanza Ktk awamu ya nne kuimarisha PPP yaan public private partinership ubia baina ya serikali na mashirika binafsi ktk kutoa huduma
Serikali haikua na hospitali ya rufaa ya kanda ya ziwa. Wakaona gharama kubwa sana kujenga hospital wakaamua kuingia ubia na kanisa bamboo 60% ya staff wanalipwa na serikal
Na faida wanagawana vipi? Na Cag anakagua share za serikali?
Unamaajisha masister wa kanisa katoliki waliomsindikiza Mwalimu Uwanja wa ndege kwenda UNO?
View attachment 1287260
Hospitali sio sehemu ya biashara kupata faida bali ni sehemu ya kutoa huduma kwa jamii. Serikali inatoa basket fund kwa ajili ya kuongezea Dawa na vifaa tiba, pia serikali inalipa mishahara ya watumishi 60%. Gharama za matibabu ukifuata utaratibu wa rufaa hauna tofauti na Muhimbili ila ukienda bila kufuata mfumo wa rufaa unachajiwa kiwango ch juu kwa maana kua serikali haijakuchangia hiyo ipo mpaka Muhimbili. Hospitali ya bugando ki hadhi ni zaidi ya Agha Khani lakini jaribu kulinganisha bei za Agha Khani na Bugando. mfano Agha Khani kujifungua mama mjamzito kwa kawaida ni milion 1 na nusu. wakati Bugando ni elfu 70.Na faida wanagawana vipi? Na Cag anakagua share za serikali?
Linawajibika kwa Kristu pekee aliyelianzisha ...Hakizungumzii mapambano dhidi ya ukoloni bali wakoloni kutawala Tanganyika kupitia dini kama hivi sasa,leo askofu kwenda dodoma toka Shinyanga anateuliwa na Baba mtakatifu vatican,Hospitali kama yetu ya Bugando ina ruzuku,hailipi kodi,wafanyakazi wanalipwa na Serikali bado ni ghali,hiyo super profit nani wanachukua? Ni paskali,Pengo au zinaenda Vatican? Haishangazi kanisa katoliki ni tajiri zaidi duniani lakini pia haliwajibiki kwa yoyote! Pascal Mayalla