Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, na nafasi ya Kanisa Katoliki


Inasemwa hata akiwa Musilama basi awe amesoma huko ukatoliki.
 
Mzee Mohammed Said yu wapi, Jeriko anatupeleka kombo bila tashwishwi
Huyo Mzee ndio Mmbea mkubwa

Juzi kwenye TV namsikia anasema eti ile nafasi ya Mwl. Nyerere kuwa mwenyekiti wa TANU ilikuwa ya Bakari Mwapachu ila Mwapachu akaamua tu kumwachia Mwalimu wakiwa Mwanza.

NI MDINI NA MZUSHI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu nadhani ni kheri muislam awe raisi kuliko protestant

Akiwaga raisi mwislamu kunaibukaga NGO's nyingine za kutetea haki za binadamu, haki za kiraia, jukwaa LA katiba, nyaraka za kitume

Raisi akiwa katoliki zinapotea
Waislam waliumbwa ili waongozwe sio waongoze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina hawakutawaliwa na wazungu. Sisi tuliotawaliwa tumejikuta tukizama ndani ya secularism.

Hata waislam pia wanapoongoza sehemu mojawapo ya wajibu wa kiongozi muislam ni kuifanya nchi anayoongoza kuwa inafuata tamaduni za kimaisha za kiislam.
China ilitawaliwa na Muingereza hususan Hongkong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huwataji Waislam Ibrahim Lipumba na Mh.. Jakaya waliosomeshwa katika seminary za kikristo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…