Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hapana, mbunifu ni min -me
Maadili Huwa ni utaratibu wa maisha ambayo watu wa jamii Fulani wamejiwekea kutokana na Imani zao au mienendo Yao.Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake?
Kwani Baba, mama, kaka au dada, si wanawake au wanaume kama wengine? Kwa nini watu waone kama ni kinyume cha maadili?
Hivi mtu akiiba kitu kwa nini ionekane ni kinyume cha maadili. Hivi wizi si uwezo wa kuchukua kitu cha mwingine kwa kumzidi akili?
Hivi chanzo cha kuwepo kwa haya maadili ni nini. Na haya maadili yalianzaje anzaje?
CC: Kiranga , Infropreneur
Ufahamu una operate wenyewe automatically.Kwa ivo "Common sense" ili zi- react mwanao akitaka kungonoka na wewe ufahamu wako hukumbushwa nini kuwa si sahihi baba kungonoka na Binti yake?
Common sense ipo katika ufahamu wetu kwenye vichwa vyetu.Na hiyo "common sense" Iko wapi? Kwenye Akili, roho, nafsi au Inapatikanaje?
Kwa ivo kwanza kabisa unaamini maadili yanatokana na mambo ya Imani fulani au mwenendo wa jamii husikaMaadili Huwa ni utaratibu wa maisha ambayo watu wa jamii Fulani wamejiwekea kutokana na Imani zao au mienendo Yao.
Pia maadili chanzo chake ni Imani za kidini.Maadili pia yaliletwa na dini. Dini zilikuja na sheria na taratibu zake mbalimbali, ukiwa muumini wa dini hiyo basi huna budi kufata sheria na kanuni zilizowekwa, ndipo tukajikuta tunapata maadili.
Makatazi ya dini ya Kikristo na Kiislamu ndiyo huleta maadili?Mfano: Uislamu na Ukristo unakataza
kuoa dada, mama Yako. Ni kinyume na utu wa mtu.
Wahadzabe, Watindiga, Wasandawe na Bushmen huko maporini hawana dini wala imani za ukristo na uislamu. Ila wana maadili.Kwa ivo kwanza kabisa unaamini maadili yanatokana na mambo ya Imani fulani au mwenendo wa jamii husika
Pia maadili chanzo chake ni Imani za kidini.
Makatazi ya dini ya Kikristo na Kiislamu ndiyo huleta maadili?
Kwa maelezo yako wewe inaonekana hukubaliani na hoja ya Infropreneur kuwa maadili hutokezwa na "Common sense" tu.
Labda dini ni nini?Maana Inawezekana wana dini zao ambazo si uislamu Wala ukristo.Wahadzabe, Watindiga, Wasandawe na Bushmen huko maporini hawana dini wala imani za ukristo na uislamu. Ila wana maadili.
Sasa hapa automatically, Dini sio kigezo cha watu kuwa na maadili.
Hayo ni mawazo yake infropreneur . Mm yangu ndo hayo kama unaswali katika hoja zangu ntajaribu kukujibu kadri ntavyoweza.Kwa ivo kwanza kabisa unaamini maadili yanatokana na mambo ya Imani fulani au mwenendo wa jamii husika
Pia maadili chanzo chake ni Imani za kidini.
Makatazi ya dini ya Kikristo na Kiislamu ndiyo huleta maadili?
Kwa maelezo yako wewe inaonekana hukubaliani na hoja ya Infropreneur kuwa maadili hutokezwa na "Common sense" tu.
Dini ni utaratibu wa maisha aishio mtu.Labda dini ni nini?Maana Inawezekana wana dini zao ambazo si uislamu Wala ukristo.
Tukijua dini ni nini itatusaidia Sana kwenye mjadala huu.
Kwa ivo kusingekuwepo na dini kusingekuwa na maadili?Ndio , dini kwa kiasi kikubwa ndo zimeleta maadili.
Sasa hii ya kuepusha magonjwa ya kurithi ilianza lini? Au maana yake mtu asiyeogopa magonjwa ya kurithi akingonoka na nduguye jamii imchukuliaje?Dini na evolution,
Mfano kutofanya mapenzi kati ya ndugu ni sababu za evolution zaidi ili kuepusha magonjwa ya kurithi
Inategemeana na wanandugu maana kuna mila za watu mabinamu watoto wa mashangazi na wajomba wanaweza kuoana. Na hiyo wanaona sawa tu.Infropreneur Kwa mfano kuwe na mtu/watu wanaoona ni sawa Wanandugu kungonoka. Sasa Hawa jamii ifanye nini dhidi Yao?
Huwezi kukubali kulala na mzazi wako au binti yako kwa common sense zilizo timamu.Yaani waachiwe familia Moja waoane wenyewe Kwa wenyewe ama nini kifanyike ili common sense zao zizinduke kujua baba au mama na mtoto haifai kungonoka?
Dini ni mkusanyiko wa imani za watu zinazo fungamanishwa na Mungu au miungu.Labda dini ni nini?Maana Inawezekana wana dini zao ambazo si uislamu Wala ukristo.
Tukijua dini ni nini itatusaidia Sana kwenye mjadala huu.