Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Duuuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hii mbegu tumeipanda sisi tukubali au tukatae hatuna wa kumlaumu.......
law of return. watu hawafaham hii kitu but its too real. niseme kwa kipindi hiki.. yule bwana amejitakia, ame plant hate.. halaf anatarajia love.
there is no such thing
Maadili yalianza kuharibika Lumumba pale iliposikika Sauti ya binadamu mmoja ikisema Lissu anastahili kuuwawa.Hasa Apo ufipa Ni tatizo madili Ni mzungulusho
Maadili yalianza kuharibika Lumumba pale iliposikika Sauti ya binadamu mmoja ikisema Lissu anastahili kuuwawa.
Ni kweli wanaongoza waliotaka kumuua Lissu, waliodai Azory Yuko Kwa hawara na waliomuua Ben Saanane Kwa kuhoji PHD . Wahuni hawa tuwakemee Kwa nguvu zote .Wanafurahia matatizo ni wahuni kama wahuni wengine.
Lumumba wasilalamike kwani ni matokeo waliyapanda maumivu kwa vyama pinzani haswa chadema, hawakuwa na pakusemea bali waliumia ndani kwa ndani, sasa wanafurahia kwa sababu hapakuwa na uponyaji wa majeraha ya mioyo kutokana na aina ya siasa za sas. Rejea hotuba ya Mbowe Bahari Beach alisema wanamaumivu ya ndani na mateso kwa wanachama wao, chuki iliyopanda haijapatiwa matibabu na kupelekea jamii kugawanyika tangu viongozi wa dini, siasa, waumini, wanachama na jamii kwa ujumla wapo wanaofurahia na wanasikitika.Hayo maneno yakarudiwa tena bungeni na BULEMBO na hakuna aliyeyakemea; sasa tutaona atakayetangulia kati ya yule waliomchulia na wao!! Ever heard of KARMA?
Hivi kwa mfano kwa huyu jamaa unalilia nini? Nyerere tulimlilia kwa kuliunganisha Taifa kuwa kitu kimoja bila kujali makabila yetu na alituunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili. JK alijitahidi kuiacha demokrasia ichukue mkono wake. Utawala wa sheria ulitamalaki. Sasa huyu ni kipi cha kumliza mtu? Mbuga ya Chattle? Kupigwa risasi kwa Lissu? Nini kitakuliza?Ukiwa baba wa familia, halafu unapendelea watoto kadhaa na wengine unawatenga, uwe na uhakika siku ukifa sio wote watalia.
You reap what you saw.Maadili hayajashuka, Ila watu watakutreat kulingana na wewe unavyowatreat.
What goes around comes back around. Tusitafute mchawi.
Waache wenye nchi yao wamlilie. Sisi hayatuhusu.Hivi kwa mfano kwa huyu jamaa unalilia nini? Nyerere tulimlilia kwa kuliunganisha Taifa kuwa kitu kimoja bila kujali makabila yetu na alituunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili. JK alijitahidi kuiacha demokrasia ichukue mkono wake. Utawala wa sheria ulitamalaki. Sasa huyu ni kipi cha kumliza mtu? Mbuga ya Chattle? Kupigwa risasi kwa Lissu? Nini kitakuliza?
Nitafurahi sana Bwana akitenda maajabu.Wapo watakaolia
Kuna ambao utawala huu umewafaa sana. Unadhani mtu kama Sabaya hatalia?