Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Uzalendo ni kuipenda nchi na sio mtu. Kwani ulitaka atukuzwe??? Hata Lissu alistahili kuishi kwa amani, vipi kuhusu Akwilina Peter, kimara,Mbezi bila kusahau wastaafu. Pepo ni hapa hapa. KARMA IS REAL BITCH MF! Siku nzuri yameta meta wimbo huu sijausikia siku mingii
Basi matapata tabu sana hadi 2025 anaondoka mtakuwa mmekauka kama mijusi
 
Matatizo yapi ? Imani ndio Maadili ?

Nitakubaliana na wewe kama imani inakutuma (turn the other cheek) basi watu watavumilia lolote lile....

Watu huenda wanachekea matatizo kwa kuona maisha yao hayaakisi maendeleo kwahio kuna SISI na WAO kuna vita hapa katikatika..., kwahio mmoja akianguka wa WAO lazima wale wanajiona wa upande mwingine wanafurahia...

Hili sio suala la Imani (watu tuna imani tofauti) hili ni suala la viongozi kuacha kudhania hii nchi ni ya wachache bali ni ya kila mmoja (haijalishi hata kama sio muumini)..., Kwa kufanya hivyo matatizo ya jirani yatakuwa ni matatizo yako..., ila kama jirani anajiona nia adui/tofauti/sio mwenzako...., unategemea utamuombea mema ?

Kama walivyosema Adui yako mwombee njaa.., kwahio kuepuka kuombeana njaa ni kuondoa uadui...., na sio kuwa indoctrinated na kufundishwa imani yoyote (sababu tusipoangalia tutakuwa tunajenga WAO na SISI wa design nyingine)
 
Mimi nimeshangilia nini hapo?

Kwamba ukifanya mabaya utakipwa mema?

Neva!!!!
Chadema siku zote hushangilia mtu wa ccm akipata shida no matter what!

Na matapata tabu sana hadi 2025 lazima mnye dagaa
 
Na CCM kushangilia MwanaChadema kupata matatizo ni ajabu?
Siyo ajabu kabisa! Ndio maana nashangaa wanaosema watu wengi, chadema ni kundi dogo sana hapa nchini na kundi kama hili dunia nzima hulikosi
 
Mleta mada ungekuwa karibu yangu ningekunasa bonge la Kofi


Ulikuwa kuandika haya kipindi kile lissu anapigwa risasi 36

Ulikuwa wapi nauliza?

Huyo unayemtetea Yuko responsible kwa hii tabia unayoikemea
 
Back
Top Bottom