Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Hao wanatoa tu maoni yao ila watu aina ya michadema ndio hushadadia hata kwa JK walisena anajiongezea muda
Wanatoa maoni kuhusu nini? Nani kawatuma? Kama hakuwatuma si awakemee? Na akiwakemea na wakarudia si achukue hatua kali zaidi kama anazochukua kwa wengine?
 
Sasa mnahamaki nini kwa kakundi kadogo? Si muendelee na shughuli zenu? Hata wewe kwa nini uhangaike kukajibu humu JF kakundi kadogo tu hako?
Kwani kuna mtu amehamaki?

Nyie ndio mnajifanyia sherehe humu mitandaoni hakuna jipya
 
Wanatoa maoni kuhusu nini? Nani kawatuma? Kama hakuwatuma si awakemee? Na akiwakemea na wakarudia si achukue hatua kali zaidi kama anazochukua kwa wengine?
Yani awakemee watu kutoa maoni yao?

Ndio democerasia hiyo?
 
Jipya si hilo lililompata jamaa
Jipya kwenu nyie kundi dogo sana hapa nchini.

Wanachi wapo wanaendelea na shughuli zao za kujiingizia vipato huko mitaani. Genge la wahuni wachache ndio hilo linaona kuna jipya
 
Kundi dogo sana la chadema haliwezi kumfundisha mtu jinsi ya kuishi
Naona unajaribu sana kuhamisha magoli. sini wote wana vyama, wengi ni wananchi wa kawaida wasio fungamana na upande wowote. Nakushangaa sana unavyo jaribu kuibadili mada hii iwe ya kisasa. Well nina ujumbe wako, wewe ni mtu mdogo sana and no body gives a flying fuk about you.
 
Wawe nae wasie nae mimi hainisaidii chochote!

Haitaniongezea unga wala hela mfukoni.
Nyie muendelee kumuuguza ila msisahau kutupatia up dates za maendeleo yake. Sisi huku tunaendelea na " maombi"
 
Wewe acha kutufanya wafu wajinga hapa!

Kundi linaloshangilia huu uzushi ni kutoka chama kile cha yule mbelgiji aliefeli vibaya sana
 
Nyie muendelee kumuuguza ila msisahau kutupatia up dates za maendeleo yake. Sisi huku tunaendelea na " maombi"
Sisi tunajua yuko ofisini kwake anachapa kazi!

Updates mtapata kwa wahuni wenzenu katika hilo kundi lenu
 
Sasa kama hakuna jipya wewe unahangaika nini kulijibu kundi dogo lisilo na jipya?
 
Crimea leo kaingiza mkwanja wa nguvu kuliko wote wa Lumumba. Maana hulipwa kwa idadi ya jumbe zilizotumwa JF na kwingineko.
 
Back
Top Bottom