Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Muulize Mbowe umuhimu wa Mbunge angalau mmoja. Unafikiri kina Halima wameenda kijinga pale?Wewe unataka tupate mbunge hata mmoja wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Mbowe umuhimu wa Mbunge angalau mmoja. Unafikiri kina Halima wameenda kijinga pale?Wewe unataka tupate mbunge hata mmoja wa nini?
Hakuna mbaya kwa kweli jamaa anapendwa sana.Chadema ni kundi dogo sana ni 0.0002% ya watanzania wote. Kuchukiwa na kakundi kama hako nini mbaya?
Wanatoa maoni kuhusu nini? Nani kawatuma? Kama hakuwatuma si awakemee? Na akiwakemea na wakarudia si achukue hatua kali zaidi kama anazochukua kwa wengine?Hao wanatoa tu maoni yao ila watu aina ya michadema ndio hushadadia hata kwa JK walisena anajiongezea muda
Kwani kuna mtu amehamaki?Sasa mnahamaki nini kwa kakundi kadogo? Si muendelee na shughuli zenu? Hata wewe kwa nini uhangaike kukajibu humu JF kakundi kadogo tu hako?
Kwani wewe unapenda Chadema wawe na angalau mbunge mmoja?Muulize Mbowe umuhimu wa mbunge angalau mmoja!
Unafikiri kina Halima wameenda kijinga pale?
Jipya si hilo lililompata jamaaKwani kuna mtu amehamaki?
Nyie ndio mnajifanyia sherehe humu mitandaoni hakuna jipya
Wawe nae wasie nae mimi hainisaidii chochote!Kwani wewe unapenda Chadema wawe na angalau mbunge mmoja?
Yani awakemee watu kutoa maoni yao?Wanatoa maoni kuhusu nini? Nani kawatuma? Kama hakuwatuma si awakemee? Na akiwakemea na wakarudia si achukue hatua kali zaidi kama anazochukua kwa wengine?
Ahaaa, Msururu wa heshima za mwisho utakuwa mrefu sana, kisa tu wakaone kama kweli ni yeye.kama Mungu akimpenda zaidi Mzee Shakaza naamini kuna watanzania zaidi ya nusu watapika pilau kwa huzuni
Jipya kwenu nyie kundi dogo sana hapa nchini.Jipya si hilo lililompata jamaa
Naona unajaribu sana kuhamisha magoli. sini wote wana vyama, wengi ni wananchi wa kawaida wasio fungamana na upande wowote. Nakushangaa sana unavyo jaribu kuibadili mada hii iwe ya kisasa. Well nina ujumbe wako, wewe ni mtu mdogo sana and no body gives a flying fuk about you.Kundi dogo sana la chadema haliwezi kumfundisha mtu jinsi ya kuishi
Hata mimi nashangaaSasa kama wapo hao kwa nini wanatulazimisha na wengine tulie?
Nyie muendelee kumuuguza ila msisahau kutupatia up dates za maendeleo yake. Sisi huku tunaendelea na " maombi"Wawe nae wasie nae mimi hainisaidii chochote!
Haitaniongezea unga wala hela mfukoni.
Sisi tunajua yuko ofisini kwake anachapa kazi!Nyie muendelee kumuuguza ila msisahau kutupatia up dates za maendeleo yake. Sisi huku tunaendelea na " maombi"
Kwani hutaki tumwombeee? Huyu si ni wa sisi wote?Sisi tunajua yuko ofisini kwake anachapa kazi!
Updates mtapata kwa wahuni wenzenu katika hilo kundi lenu
Huwezi kunipangia cha kufanya hapa jf!Sasa kama hakuna jipya wewe unahangaika nini kulijibu kundi dogo lisilo na jipya?
Fanya mengine, kwani lazima ujibu ujumbe wangu?Huwezi kunipangia cha kufanya hapa jf!