Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

CCM waligonga meza pale waliposema zito auwawe. Wengine wamepewa teuzi kama fadhila kwa kuwatishia wapinzani
Hata CHADEMA sasa hivi wanashangilia uvumi wa Rais kuumwa!
 
Sasa cha ajabu nini watu kufurahi? Acha watu wajinafasi kwa vicheko. Kwani nini unataka watu wanune bwana?
Nani kakwambia anataka hilo kundi la chadema liache kujifurahisha kwa huu uzushi wao?
 
Kwani wote wanaompigia debe atawale milele ni Chadema? Ni hawa : Ndugai, Jah people, Nkamia, na Kessy wanaopigana kufa kupona kwamba atake asitake mingine kumi inamhusu nao ni Chadema?
Sasa hao wakisema hivyo ndio imeshakuwa?

CHADEMA ndio inahanikiza kuonesha kwamba Rais anataka iwe hivyo
 
Kwani kuna uvumi kwamba anaumwa? Oyaaaaaaaa, jamani uvumi kama huu unapendeza!
Unapendeza sana mbele ya kundi hili dogo la chadema maana ndio njia ya kupoza machungu ya kugongwa kwenye uchaguzi, na mkiendelea na ujinga huu hata 2025 hampati mbunge hata mmoja.
 
Wamezusha nini? Aliyezushiwa si ajitokeze hadharani kukanusha? Mbona Mpango alikurupuka na dripu wodini kwenda kwenye media na madripu kukanusha kufa? Naye ajitokeze, shida iko wapi?
Rais ana majukumu makubwa ya kujenga nchi na kuwatumikia watanzania hana muda wa kuja kuwafurahisha genge la wahuni wachache kama hao
 
Back
Top Bottom