Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Your browser is not able to display this video.


Wenye nchi hao.
 
Siyo jamii bali ni wajinga wachache sana wenye hasira za mbelgiji kupigwa kwenye uchaguzi
Hapana si kweli, tunaishi mtaani na kusema ukweli si wengi wanaombea yasiyomema zisi gavamenti maana inaumiza watumishi wa umma, praiveti sekta na wafanyabiashara.......kuna issue ya loan board kwa graduates 🎓........yaani ni wengi so usigetegemee likitokea lolote watasikitika
 
Ndio maana hata Meko hujitokeza hadharani akitumia magari na nyenzo za umma kutoa kauli zinazoakisi mawazo yake ya ngono hadharani kweupe! "Wewe unataka upanuliwe wapi, nyuma ama kwa mbele??" Hii ni moja ya kauli zake jinsi asivyo jiheshimu.
Wacha Aiseee. Kweli?
 
Please,this is how u fell, your self.dont include others pls.say for yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…