Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana

Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini

Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo

Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa

Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe

Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?

Inauma sana
 
Ukitumia gari kwa muda mrefu unaichoka pia.
 
Zamani mwanaume 1 alikuwa anaowa wanawake hata 4 -5 nk sasa wewe unataka mmeo awe wako tu wenzio hutaki nao wapate mhogo uwe unawahurumia.
 
pole mama kwa yaliyokukuta! Ni malimwengu tu, yatapita

Experience is power
 
Pole inaonekana yamekukuta....

Wanaume wanawahi kuzeeka na kuishiwa nguvu hiyo ndio nature, sasa ameshatumika kufyatua sana show za kibabe wakati huo sasa nguvu zinamuisha anatafuta motisha chanya inayobana ili aweze kukojoa zake kuliko kutwanga maji kwenye kinu unategemea yataiva hayo maji?

Mjitunze na muwe na manjonjo na mbinu za kukufikiria mara mbili mbili.

Wengine kabla hawajaoana walikuwa wapeana doses za ukweli sijui alikuwa ana pretend aoneshe rangi kamili akiingia ndoani lengo asichekwe kwamba aoleki!

Rudisheni doses za zamani.
 
Ni tamaa tu
 
Vibinti vya chuo balaa. jamaa yangu alikachukua kamoja kakaja na mwenzie mkewe alikua amesafiri wakiwa sitting room kale kademu kamoja kakaja kumkalia jamaa wakawa wanakulana denda kama la wema sepetu mbele ya mwenzie. genye zilipowapanda kale kademu kakamwambia mwenzie sie tunaingia ndani kugegedana kenzie kakasema poa hapo jamaa na usomi na pesa zake alikua kama poyoyo anaitikia na kucheka cheka tu. Akazama ndani akaanza kukagegeda wakiwa kwenye game kakamambia rafiki yangu nae ametamani namuita aje umpe kidogo. Utadhai movie hiyo ndo hali halisi ya mabint wa chuo. waliona mshikaji ana mkwanja wa maana. Baada ya kugegedana sana jamaa alichunwa kama 150
 
Si mabinti pekee me naona

Moja, wa kusema naye ni mumeo, yeye akiacha kuwafata mabinti hao mabinti nguvu ya kumsumbua angeipata wapi

Pili, wakina mama kusema zaidi na mabinti zao hata mabinti wenyewe wajue kusema na shida zao na tamaa zao,

Mwisho mke mwenyewe wanawake wengi tunachangia wanaume zetu wakaweweseka huko nje
 
Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?

baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.

wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
 
Wanaume was level zetu wanalele na wamama like vibesen sasa ili tuende sawa na hawa wamama vibenten tuatoka na waume zao kwa raha zetu kama roho zinawauma watajibeba
 
Wanaume was level zetu wanalele na wamama like vibesen sasa ili tuende sawa na hawa wamama vibenten tuatoka na waume zao kwa raha zetu kama roho zinawauma watajibeba
Mmuuuh
 
Hapo umenena kuna wamama wapo kwenye ndoa zao lakin hawajielewi hata ! Acha waibiwe waume kwa uzembe wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…