cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana
Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini
Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo
Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa
Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe
Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?
Inauma sana