Huku Bongo Pauline Gekul kafutiwa mashitaka na DPP yani hata uchunguzi hakuna Dpp kaanza kuzunguka kwenye vyombo vya habari kumtetea [emoji1787][emoji1787]Kuna mahala pesa haifanyi kazi kabisaa hawa jamaa wao ni kufwata sheria ya Nchi yao inataka nini na haitaki nini, huku Afrika asingaliguswa ingalibakia kusema uchunguzi hauja kamilika miaka inakwenda. Utawla wa sheria kwakweli ni nguzo ya kuendesha Nchi bila hofu yoyote maana hamna aliye juu ya sheria kabisa.
Labda akimbilie Urusi#No didy
50 cent tokea kitambo sana anasema didy nd mhusika mkuu mahuaji ya pac, ubakaji,ulawiti;:
Anatakiwa asirudi kabsa USA
Kaka umesema ukweli inakuwa kwamba wamepania nikifanikiwa watanikoma sasa vina warudia wanaishia kuishi kama panzi mwenye minofu anawindwa na ndege, na mbaya zaidi ushaidi unapatikana basi inakuwa hakuna huruma tena.Mweusi akipata hela kwa mziki lazima aingie ukahaba na drugs sijui kwanini
Halafu wakikamatwa wanasema tunaonewa
Haya R Kelly ananyea debe na huyu karibuni atafilisika halafu sisi wa Buza tutalia na kusema kisa black wamemuwekea mtego
Mbona kina Denzel wana heshima zao?
Tuvute subira maana vitengo vya upelelezi vya huko haviongopi wanakaa na kuchunguza kwa kina aisee wakiibuka huko wanadaka mtu hata angalikuwa anajina na pesa kiasi gani wao wanae.Wakimalizana na diddy who's next!!?
Nimecheka kama mazuri vile aiseee 😂 😂 😂Labda akimbilie Urusi
Acha kabisa tena na kusifiwa juu na ukada kabisa.Huku Bongo Pauline Gekul kafutiwa mashitaka na DPP yani hata uchunguzi hakuna Dpp kaanza kuzunguka kwenye vyombo vya habari kumtetea [emoji1787][emoji1787]
Haswa na wengi wanaobahatika kupata hela za haraka huku wakiwa wametokana na umasikini huwa wanasahau hata wazazi na pia walikotoka badala yake hela zinawapa kiburi hata kutoa amri ya kuuwa kwa kuwalipa watuKaka umesema ukweli inakuwa kwamba wamepania nikifanikiwa watanikoma sasa vina warudia wanaishia kuishi kama panzi mwenye minofu anawindwa na ndege, na mbaya zaidi ushaidi unapatikana basi inakuwa hakuna huruma tena.
Au Brazil maana hakuna Interpol hukoLabda akimbilie Urusi
Wapo hatua moja mbele ya Marekani.Hivi na Urusi wanafuata sheria kama Marekani?
Mkuu umesema vya ukweli kabisa Damu ya Mtu haiendi bure kabisa itamlilia aliye imwaga hata ajifiche wapi italia nae tu.Haswa na wengi wanaobahatika kupata hela za haraka huku wakiwa wametokana na umasikini huwa wanasahau hata wazazi na pia walikotoka badala yake hela zinawapa kiburi hata kutoa amri ya kuuwa kwa kuwalipa watu
Hizo damu haziendi bure kaka
Laana zinawatafuna
Watatuma majasusi wa kihuni wamtunguwe tuAu Brazil maana hakuna Interpol huko
Haya mambo ya kuandaa mahouse parties majumbani unaita watu mbali mbali,piga pombeanayevuta unga atavuta,watu humo ni kusex kubakana nkMweusi akipata hela kwa mziki lazima aingie ukahaba na drugs sijui kwanini
Halafu wakikamatwa wanasema tunaonewa
Haya R Kelly ananyea debe na huyu karibuni atafilisika halafu sisi wa Buza tutalia na kusema kisa black wamemuwekea mtego
Mbona kina Denzel wana heshima zao?
Ni ushamba ingawa wamezaliwa mjiniHaya mambo ya kuandaa mahouse parties majumbani unaita watu mbali mbali,piga pombeanayevuta unga atavuta,watu humo ni kusex kubakana nk
Lazima kama unafanya hivyo iko siku itakutokea puani
Ova
Na kweliWatatuma majasusi wa kihuni wamtunguwe tu
HaswaWatatuma majasusi wa kihuni wamtunguwe tu
hivi huko duniani wenyewe vibahasha vya kaki havifanyi kazi kama huku?Wapo hatua moja mbele ya Marekani.
Kukupeleka mahakamani kwao ni kutaka kukupa more days za kuishi. Huwa wanakuwahisha mavumbini bila parole