Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosi inaweza kuwa ni hisia tu au kama ni kweli labda ni mtu asiyejitambua. Kwanza entry qualification huwez kuwa na div4 halafu ukasoma Degree bila route ndefu hapo tu tayari ni mushkil. Na mifumo ya lawson iko tight huwez kuiingilia kiurahisi. Angalizo la mtoa mada limetolewa kama tahadhari. Lakini mtu aliyeajiriwa kama Daktari kwa mfano, aseme alitumia cheti cha Division 2 cha Form Four wakati alipata Div4 kiuhalisia,then assume alienda Form Six kwa Div2 ya kupikwa. Baadae akafaulu Form Six na kisha kwenda Muhimbili. Baadae akaajiriwa kama Daktari tuseme Mwananyamala Hospitali. Wakati wa Ajira atapeleka vyeti:-Naona kuna watu hawajamwelewa mleta uzi. Mimi nimemuelewa hivi:
Hawa watumishi walikabidhi vyeti feki(vilivyomodolewa) wakati wanaajiriwa. Mf. mtu form four alipata div. 4, na cheti chake kinaonekana ana div 4. Lakini alikimodoa hadi akawa na cheti cha div 2 au 3 ambacho ndo alikitumia kujiendeleza kielimu hadi kuja kuajiriwa. Kwa hiyo, kile cha div 4 alikificha kabatini na kukikabidhi cheti cha kumodoa kwa mwajiri, na faili lake lina nakala ya cheti hiki.
Wakati wa uhakiki, idara ilipeleka Necta cheti kilichomodolewa. Necta wakaona ni cheti feki. Watumishi hawa kwa sasa wanafanya mojawapo kati ya haya mawili ili wafanikiwa kukata rufaa yao dhidi ya serikali:
Mleta uzi anawatahadharisha maafisa utu kuwa makini.
- Wanashirikiana na maafisa utumishi kuviondoa vyeti vya kumodoa kwenye mafaili yao na kuviweka vile halisi (kama faili lilikuwa na cheti cha div.3 ya kumodoa, kinaondolewa na kuwekwa halisi chenye div 4)
- Watumishi hao sasa wanaiba mafaili yao, wanabadilisha vyeti (vya kumodoa kwa halisi) na kuyarudisha mafaili bila maafisa utumishi kujua.
Sijui watu wanatokwa na povu kwa nini?
PIA TAIFA HILI LIMEJAA WATU WANAOJUA KUFOJITumekuwa na taifa la majitu mambeya mambeya sijui kwa nini? Kama huna ajira mkuu jikaze tu nafasi hazitoshi hata tukiondolewa watumishi wote wa umma! Mtaani kuna zaidi ya watu 1 m hawana ajira! Hivi wewe kwa akili yako unaona kabisa hao watu watafanikiwa kukana photocopy walizokabidhi wenyewe na mtu akawaelewa? Wacha umbeya wewe!
Kuna jamaa mmoja pia anashughulikia kubadilishiwa data kimya, wameelewana na Afisa Utumishi mmoja ampe kg 3. Nawaza sijui nivuruge deal au niache liende!Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu anaondolewa data zote kwenye mfumo na kwenye mafaili na anaekezwa akienda baraza akakane kabisa taarifa zake alizozipeleka awali na akasisitize kwamba data zake halisi ni hizi alizonazo. Huu mchezo umekuwa sehemu ya kujipatia fedha .
Nimeona niliseme hilo kwani limejitokeza kwa baadhi ya watumishi , kuna mtumishi wakati wa uhakiki alipeleka cheti chake alicho kimodoa kilichokuwa na ufaulu wa daraja la tatu pointi 23. Lakini sasa ameenda baraza na cheti cha daraja nne pointi 33, na amebadilishiwa data zake zote na ameambiwa akakane taarifa zake za awali na ikibidi hata kwenda mahakamani aende . Sasa watu waliothirika wameamua kutembea na vyeti vyao halisi na kuvificha vile walivyowasilisha mara ya mwanzo ambavyo walivimodoa.
Kuna tukio jingine ambalo limejitokeza tena mhusika kawekwa rumande hadi jumatatu baada ya kugunduliwa kwamba anataka kubadilisha data zake kwenye faili lake lililopo kwa mwajiri wake huku akifanikiwa kuweka data zake kwa mkuu wake wa idara , alishtukiwa na kuwekwa ndani.
Nawaomba baraza kutambua kwamba waathirika wengi wa uhakiki wana vyeti viwili viwili kimoja kikiwa halisi na kingine kilichomodolewa . Na wamejipanga kuzikataa kabisa data zilizotumwa huko na wengine wana barua toka kwa maafisa utumishi wao zinazo shadidia kwamba data zao halisi ni hizi wanazoleta sasa , na wengine hivyo vyeti wamesomea hadi ngazi ya diploma na degree.
Kuweni makini na hao watu wanao kuja huko, kwani wamejipanga vilivyo.
Kama kinachosemwa ndocho sitashangaa. Mfa maji haachi kutapatapa.Mosi inaweza kuwa ni hisia tu au kama ni kweli labda ni mtu asiyejitambua. Kwanza entry qualification huwez kuwa na div4 halafu ukasoma Degree bila route ndefu hapo tu tayari ni mushkil. Na mifumo ya lawson iko tight huwez kuiingilia kiurahisi. Angalizo la mtoa mada limetolewa kama tahadhari. Lakini mtu aliyeajiriwa kama Daktari kwa mfano, aseme alitumia cheti cha Division 2 cha Form Four wakati alipata Div4 kiuhalisia,then assume alienda Form Six kwa Div2 ya kupikwa. Baadae akafaulu Form Six na kisha kwenda Muhimbili. Baadae akaajiriwa kama Daktari tuseme Mwananyamala Hospitali. Wakati wa Ajira atapeleka vyeti:-
1. Cha Form Four-Div2(Fake)
2.Cha Form Six-Div 2(Halali)
3. Cha Degree Muhimbili-Upper Second Class(Halali)!
Miaka kadhaa baada ya uhakiki anaonekana ana cheti Fake cha Form Four. Kwa kutumia Scenario ya Mtoa mada,anaamua kupeleka kile chake Halisi cha Form Four chenye Division 4! Hapa tayari mtiririko wa Elimu unaanza kugoma kabisa na inaonekana kuna udanganyifu wa dhahiri. Division Four huwez kwenda Kidato Cha Sita na Chuo Kikuu kiurahisi hivyo!Anadakwa hapo hapo.
MKUU STORY YAKO INASADIFU TUKIO LILOTOKEA KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA.Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu anaondolewa data zote kwenye mfumo na kwenye mafaili na anaekezwa akienda baraza akakane kabisa taarifa zake alizozipeleka awali na akasisitize kwamba data zake halisi ni hizi alizonazo. Huu mchezo umekuwa sehemu ya kujipatia fedha .
Nimeona niliseme hilo kwani limejitokeza kwa baadhi ya watumishi , kuna mtumishi wakati wa uhakiki alipeleka cheti chake alicho kimodoa kilichokuwa na ufaulu wa daraja la tatu pointi 23. Lakini sasa ameenda baraza na cheti cha daraja nne pointi 33, na amebadilishiwa data zake zote na ameambiwa akakane taarifa zake za awali na ikibidi hata kwenda mahakamani aende . Sasa watu waliothirika wameamua kutembea na vyeti vyao halisi na kuvificha vile walivyowasilisha mara ya mwanzo ambavyo walivimodoa.
Kuna tukio jingine ambalo limejitokeza tena mhusika kawekwa rumande hadi jumatatu baada ya kugunduliwa kwamba anataka kubadilisha data zake kwenye faili lake lililopo kwa mwajiri wake huku akifanikiwa kuweka data zake kwa mkuu wake wa idara , alishtukiwa na kuwekwa ndani.
Nawaomba baraza kutambua kwamba waathirika wengi wa uhakiki wana vyeti viwili viwili kimoja kikiwa halisi na kingine kilichomodolewa . Na wamejipanga kuzikataa kabisa data zilizotumwa huko na wengine wana barua toka kwa maafisa utumishi wao zinazo shadidia kwamba data zao halisi ni hizi wanazoleta sasa , na wengine hivyo vyeti wamesomea hadi ngazi ya diploma na degree.
Kuweni makini na hao watu wanao kuja huko, kwani wamejipanga vilivyo.
Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu anaondolewa data zote kwenye mfumo na kwenye mafaili na anaekezwa akienda baraza akakane kabisa taarifa zake alizozipeleka awali na akasisitize kwamba data zake halisi ni hizi alizonazo. Huu mchezo umekuwa sehemu ya kujipatia fedha .
Nimeona niliseme hilo kwani limejitokeza kwa baadhi ya watumishi , kuna mtumishi wakati wa uhakiki alipeleka cheti chake alicho kimodoa kilichokuwa na ufaulu wa daraja la tatu pointi 23. Lakini sasa ameenda baraza na cheti cha daraja nne pointi 33, na amebadilishiwa data zake zote na ameambiwa akakane taarifa zake za awali na ikibidi hata kwenda mahakamani aende . Sasa watu waliothirika wameamua kutembea na vyeti vyao halisi na kuvificha vile walivyowasilisha mara ya mwanzo ambavyo walivimodoa.
Kuna tukio jingine ambalo limejitokeza tena mhusika kawekwa rumande hadi jumatatu baada ya kugunduliwa kwamba anataka kubadilisha data zake kwenye faili lake lililopo kwa mwajiri wake huku akifanikiwa kuweka data zake kwa mkuu wake wa idara , alishtukiwa na kuwekwa ndani.
Nawaomba baraza kutambua kwamba waathirika wengi wa uhakiki wana vyeti viwili viwili kimoja kikiwa halisi na kingine kilichomodolewa . Na wamejipanga kuzikataa kabisa data zilizotumwa huko na wengine wana barua toka kwa maafisa utumishi wao zinazo shadidia kwamba data zao halisi ni hizi wanazoleta sasa , na wengine hivyo vyeti wamesomea hadi ngazi ya diploma na degree.
Kuweni makini na hao watu wanao kuja huko, kwani wamejipanga vilivyo.
Tumekuwa na taifa la majitu mambeya mambeya sijui kwa nini? Kama huna ajira mkuu jikaze tu nafasi hazitoshi hata tukiondolewa watumishi wote wa umma! Mtaani kuna zaidi ya watu 1 m hawana ajira! Hivi wewe kwa akili yako unaona kabisa hao watu watafanikiwa kukana photocopy walizokabidhi wenyewe na mtu akawaelewa? Wacha umbeya wewe!
Mkuu wewe huoni kuwa ni tatizo kama anacho kisema mleta mada ni kweli?Ovyo kabisa wewe! Konachokuuna sana ni nini.
Tunahitaji watu kama nyinyi, wenye uelewa mpana.Naona kuna watu hawajamwelewa mleta uzi. Mimi nimemuelewa hivi:
Hawa watumishi walikabidhi vyeti feki(vilivyomodolewa) wakati wanaajiriwa. Mf. mtu form four alipata div. 4, na cheti chake kinaonekana ana div 4. Lakini alikimodoa hadi akawa na cheti cha div 2 au 3 ambacho ndo alikitumia kujiendeleza kielimu hadi kuja kuajiriwa. Kwa hiyo, kile cha div 4 alikificha kabatini na kukikabidhi cheti cha kumodoa kwa mwajiri, na faili lake lina nakala ya cheti hiki.
Wakati wa uhakiki, idara ilipeleka Necta cheti kilichomodolewa. Necta wakaona ni cheti feki. Watumishi hawa kwa sasa wanafanya mojawapo kati ya haya mawili ili wafanikiwa kukata rufaa yao dhidi ya serikali:
Mleta uzi anawatahadharisha maafisa utu kuwa makini.
- Wanashirikiana na maafisa utumishi kuviondoa vyeti vya kumodoa kwenye mafaili yao na kuviweka vile halisi (kama faili lilikuwa na cheti cha div.3 ya kumodoa, kinaondolewa na kuwekwa halisi chenye div 4)
- Watumishi hao sasa wanaiba mafaili yao, wanabadilisha vyeti (vya kumodoa kwa halisi) na kuyarudisha mafaili bila maafisa utumishi kujua.
Sijui watu wanatokwa na povu kwa nini?
Asante mkuu.Tunahitaji watu kama nyinyi, wenye uelewa mpana.
Mzee ingekuwa na idea ya IT usinge andika huo umbeya sababu afisa utumishi ni end user hawezi kubadilisha vitu vyote kwenye system bila kuwa na full access ya systems. Pia ukifanya auditing ya database unaweza jua nani kabadikisha nini kwenye system kama ndiyo hivyo hao watakamatwa wote.
Mosi inaweza kuwa ni hisia tu au kama ni kweli labda ni mtu asiyejitambua. Kwanza entry qualification huwez kuwa na div4 halafu ukasoma Degree bila route ndefu hapo tu tayari ni mushkil. Na mifumo ya lawson iko tight huwez kuiingilia kiurahisi. Angalizo la mtoa mada limetolewa kama tahadhari. Lakini mtu aliyeajiriwa kama Daktari kwa mfano, aseme alitumia cheti cha Division 2 cha Form Four wakati alipata Div4 kiuhalisia,then assume alienda Form Six kwa Div2 ya kupikwa. Baadae akafaulu Form Six na kisha kwenda Muhimbili. Baadae akaajiriwa kama Daktari tuseme Mwananyamala Hospitali. Wakati wa Ajira atapeleka vyeti:-