Tetesi: Maafisa Utumishi wanawabadilishia watu wenye vyeti feki data zao

Huu mfumo wa lawson ungelink na taasisi binafsi ili jibu halisi lijulikane mapema
 
Chakuficha nn hasa ktk Jf maana ndio uwazi uwekwe habari za kuficha zpo Fb. Weka hadharani afisa utumishi na wawapi na hata hao wahusika
 
Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu anaondolewa data zote kwenye mfumo na kwenye mafaili na anaekezwa akienda baraza akakane kabisa taarifa zake alizozipeleka awali na akasisitize kwamba data zake halisi ni hizi alizonazo. Huu mchezo umekuwa sehemu ya kujipatia fedha .

Nimeona niliseme hilo kwani limejitokeza kwa baadhi ya watumishi , kuna mtumishi wakati wa uhakiki alipeleka cheti chake alicho kimodoa kilichokuwa na ufaulu wa daraja la tatu pointi 23. Lakini sasa ameenda baraza na cheti cha daraja nne pointi 33, na amebadilishiwa data zake zote na ameambiwa akakane taarifa zake za awali na ikibidi hata kwenda mahakamani aende . Sasa watu waliothirika wameamua kutembea na vyeti vyao halisi na kuvificha vile walivyowasilisha mara ya mwanzo ambavyo walivimodoa.

Kuna tukio jingine ambalo limejitokeza tena mhusika kawekwa rumande hadi jumatatu baada ya kugunduliwa kwamba anataka kubadilisha data zake kwenye faili lake lililopo kwa mwajiri wake huku akifanikiwa kuweka data zake kwa mkuu wake wa idara , alishtukiwa na kuwekwa ndani.

Nawaomba baraza kutambua kwamba waathirika wengi wa uhakiki wana vyeti viwili viwili kimoja kikiwa halisi na kingine kilichomodolewa . Na wamejipanga kuzikataa kabisa data zilizotumwa huko na wengine wana barua toka kwa maafisa utumishi wao zinazo shadidia kwamba data zao halisi ni hizi wanazoleta sasa , na wengine hivyo vyeti wamesomea hadi ngazi ya diploma na degree.

Kuweni makini na hao watu wanao kuja huko, kwani wamejipanga vilivyo.

Mbona una roho mbaya upendi wezio wakisaidiwa, ulitaka wawe machanhudoa au majambazi hili suala lilitakiwa litazamwe kwa three dimension athari zake ni kubwa kuliko ww unavyo andika
Na mbaya zaidi hata wao mshahara wako unabaki pale pale
Tuwe na uruma if possible tuwaombee warudishwe kazini wapewe adhabu nyingi hata ya kutopandishwa daraja mpaka wana staafu
Hv ww mtoto akinyea mkono wako utaukata?
Wanao wasaidia wana huruma
 
Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu anaondolewa data zote kwenye mfumo na kwenye mafaili na anaekezwa akienda baraza akakane kabisa taarifa zake alizozipeleka awali na akasisitize kwamba data zake halisi ni hizi alizonazo. Huu mchezo umekuwa sehemu ya kujipatia fedha .

Nimeona niliseme hilo kwani limejitokeza kwa baadhi ya watumishi , kuna mtumishi wakati wa uhakiki alipeleka cheti chake alicho kimodoa kilichokuwa na ufaulu wa daraja la tatu pointi 23. Lakini sasa ameenda baraza na cheti cha daraja nne pointi 33, na amebadilishiwa data zake zote na ameambiwa akakane taarifa zake za awali na ikibidi hata kwenda mahakamani aende . Sasa watu waliothirika wameamua kutembea na vyeti vyao halisi na kuvificha vile walivyowasilisha mara ya mwanzo ambavyo walivimodoa.

Kuna tukio jingine ambalo limejitokeza tena mhusika kawekwa rumande hadi jumatatu baada ya kugunduliwa kwamba anataka kubadilisha data zake kwenye faili lake lililopo kwa mwajiri wake huku akifanikiwa kuweka data zake kwa mkuu wake wa idara , alishtukiwa na kuwekwa ndani.

Nawaomba baraza kutambua kwamba waathirika wengi wa uhakiki wana vyeti viwili viwili kimoja kikiwa halisi na kingine kilichomodolewa . Na wamejipanga kuzikataa kabisa data zilizotumwa huko na wengine wana barua toka kwa maafisa utumishi wao zinazo shadidia kwamba data zao halisi ni hizi wanazoleta sasa , na wengine hivyo vyeti wamesomea hadi ngazi ya diploma na degree.

Kuweni makini na hao watu wanao kuja huko, kwani wamejipanga vilivyo.
ushahidi unao kweli au ni fikra dhahania?
 
Back
Top Bottom