Shida sio kutoka vile vile,,ila issue ni hii hapa,wengi wanaolalama kuonewa wana vyeti viwili..kimoja ni original ambacho alipata div four mbaya na kingne alikimodfy kutoka kwenye hyo dv four na kujiwekea div two ili akasomee,na ndicho alicho ombea kazi,na ndicho kipo kwenye faili lake la utumishi...na ndicho kipind cha uhakiki kilihakikiwa na hatimaye kubainika kuwa ni feki...
Sasa hivi anachukua kile original chenye div four mbaya,ndo anaenda nacho necta akidai kuwa ni halali...na ni kwel ikiingizwa ile reg no..matokeo yake yapo kwa database kuwa ni div four mbaya...but mind you,kipnd cha uhakik alihakik chet alichomodify kutoka four mpka two na ndicho alisomea chuo na kuombea kaz