SEHEMU NYINGI NDO KINACHOFANYIKA SASA.UKITOA MILLION MOJA WANAKUREHEKEBISHIA SASA TATIZO SIJUI KAMA WATAREHEKEBISHA NA KULE CHUONI WALIKOENDA KUSOMEA??
Shida sio kutoka vile vile,,ila issue ni hii hapa,wengi wanaolalama kuonewa wana vyeti viwili..kimoja ni original ambacho alipata div four mbaya na kingne alikimodfy kutoka kwenye hyo dv four na kujiwekea div two ili akasomee,na ndicho alicho ombea kazi,na ndicho kipo kwenye faili lake la utumishi...na ndicho kipind cha uhakiki kilihakikiwa na hatimaye kubainika kuwa ni feki...Acha hizo wewe.hata kama umepoteza au data zimefutwa cheti,matokeo yako NECTA yatatoka vile vile kama ulivyofeli miaka hiyo
yaani nyie munaombishia mtoa mada, nimegundua hamjamuelewa.
bahati mbaya Mwajiri hana uwezo wa Kuhakiki cheti. Unaajiriwa kwa sifa alizotaja na uonyeshe cheti. Bora hawa wangeleta hivyo halisi kwa Mwajiri kwenda kuhakikiwa wangepona. Ni kutokujua, mwajiri alikuwa haangalii vyeti vya awali ulichompa ndicho alipeleka Baraza. Yaani watu wengine hadi dakika ya mwisho unaleta fake!!!!!Shida sio kutoka vile vile,,ila issue ni hii hapa,wengi wanaolalama kuonewa wana vyeti viwili..kimoja ni original ambacho alipata div four mbaya na kingne alikimodfy kutoka kwenye hyo dv four na kujiwekea div two ili akasomee,na ndicho alicho ombea kazi,na ndicho kipo kwenye faili lake la utumishi...na ndicho kipind cha uhakiki kilihakikiwa na hatimaye kubainika kuwa ni feki...
Sasa hivi anachukua kile original chenye div four mbaya,ndo anaenda nacho necta akidai kuwa ni halali...na ni kwel ikiingizwa ile reg no..matokeo yake yapo kwa database kuwa ni div four mbaya...but mind you,kipnd cha uhakik alihakik chet alichomodify kutoka four mpka two na ndicho alisomea chuo na kuombea kaz
WAPIGWE RISASI HADHARANI,NI WAUAJI HAO NA MOJA YA MAKOSA MAKUBWA NI KUWAACHA KWENYE NAFASI ZAO MPK LEO.KWANZA WENGI WAO NI WALEVI WA KUPINDUKIA...........................................................WASHUGHULIKIWE.maafisa utumishi kama hawa wakitumbuliwa sitasikitika kamwe. natoa rai kwa waziri wa utumishi maafisa utumishi kama hawa wakibainika waburuzwe mahakamani.
system gani mkuu kwani makazini wanatumia system au mfumo wa mafile namba? nauliza tuMzee ingekuwa na idea ya IT usinge andika huo umbeya sababu afisa utumishi ni end user hawezi kubadilisha vitu vyote kwenye system bila kuwa na full access ya systems. Pia ukifanya auditing ya database unaweza jua nani kabadikisha nini kwenye system kama ndiyo hivyo hao watakamatwa wote.
Ulisomea HRMmaafisa utumishi kama hawa wakitumbuliwa sitasikitika kamwe. natoa rai kwa waziri wa utumishi maafisa utumishi kama hawa wakibainika waburuzwe mahakamani.
Sasa kama alikosa mwenyewe uadilifu unataka nini?Shida sio kutoka vile vile,,ila issue ni hii hapa,wengi wanaolalama kuonewa wana vyeti viwili..kimoja ni original ambacho alipata div four mbaya na kingne alikimodfy kutoka kwenye hyo dv four na kujiwekea div two ili akasomee,na ndicho alicho ombea kazi,na ndicho kipo kwenye faili lake la utumishi...na ndicho kipind cha uhakiki kilihakikiwa na hatimaye kubainika kuwa ni feki...
Sasa hivi anachukua kile original chenye div four mbaya,ndo anaenda nacho necta akidai kuwa ni halali...na ni kwel ikiingizwa ile reg no..matokeo yake yapo kwa database kuwa ni div four mbaya...but mind you,kipnd cha uhakik alihakik chet alichomodify kutoka four mpka two na ndicho alisomea chuo na kuombea kaz
Huyu aliyeandika hii taarifa kwa niaba ya katibu mkuu utumishi naona cheo chake ni Assistant commissioner of Police?? Au ni tafsiri Yangu ??Ilani imetolewa,ni kali, inaweza kukost maisha
Ndio ni askari polisi aliyehamishiwa utumishi na kupewa cheo cha mkurugenzi wa utumishi wa umma, aidha bado ni askari polisiHuyu aliyeandika hii taarifa kwa niaba ya katibu mkuu utumishi naona cheo chake ni Assistant commissioner of Police?? Au ni tafsiri Yangu ??
Bahati nzuri hujui ulisemalo.Nyie ndio vichaa mnaolirudisha nyuma taifa hili, maisha ya ujanja ujanja awamu hii hakuna. Mlizoea mpaka weekly test ya sekondari mnaingia na vibomu vya kupigia chabo.
Umbea hapa upo wapi huku mtu kaeleza hali halisi?