Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,146
Reaction score
15,927
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.

Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
 
Unatakiwa kuja na taarifa kamili...vinginevyo tutakuweka kwenye kundi la wale wanaotaka tusiwaze contents za hiyo inaitwa video ya akili mnemba!!
 
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.

Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
Ballet inavaliwa na mwanajeshi yeyote kuanzia private mpaka general
 
Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!

Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
 
Kofia hazivaliwi kwa utofauti wa vyeo bali ni kwa utofauti wa vikosi, rangi tofauti ya beret/kofia inaonyesha utofauti wa vitengo tofauti ndani ya jeshi, kwahiyo anaweza kuvaa askari wa cheo chochote ilimradi tu awe ni askari wa kitengo hicho.
 
Kofia inakusaidia nini wewe?

Mbona unakuwa mjinga wa kujitakia?

Hivi umri huo unashindwa ku distinguish AI na realistic?

Kama hujui basi hii ndio sababu ya Tesha kukupambania wewe ili mradi upate elimu nzuri ambayo CCM mtandao wamekuwa wakikuepusha nayo.
 
Back
Top Bottom