G
guest-1793599959
Guest
Ndo maana wenye akili wana amini wenda nyuma yake kuna kundi kubwa la wakubwa jeshini,,maana haiwezekani aende kwenye media akijiamini kiasi kile..so tusubiriAcheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole