Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

Ballet inavaliwa na mwanajeshi yeyote kuanzia private mpaka general
Ni kweli zote bi ballet ila zinatofautiana namna ile nembo ya mbele ilivyo, acha uvivu, angalia picha za msemaji wa jeshi wa sasa za kipindi alipokuwa luteni kanali na sasa akiwa kanali. Angalia kwa makini rangi ya insignia ya hizo ballet mbili.
 
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.

Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
Kimbiza ****** huo kabla hakijanuka
 
Sawa basi tuseme hata zile nyota, sio za makapten maana zinautifauti wa square na perimeter, unapoculculate mzingo wake!
 
Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!

Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Ile sio AI tena?
 
Unatakiwa kuja na taarifa kamili...vinginevyo tutakuweka kwenye kundi la wale wanaotaka tusiwazi content za hiyo inaitwa video ya akili mnemba!!
Ku upload mapicha huku natumia VPN ni kichomi, nimeona niwasanue tu kuwa yule jamaa ni tapeli na wala sio mwanajeshi kwahiyo msijipe matumaini hewa.

Kwanza mwanajeshi gani afuga vile vindevu??
 
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.

Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
nafikiri wewe ndo tapeli kama unavojiita Mzalendo Uchwara..hzo sare hazivaliwi kama njugu kama unaona ni tapeli nenda nawewe ukazivae uje udanganye umma...watu wako serious wewe unasema n utapeli.
 
Wangekuwa serious ungewaona TBC taifa wakikwambia kuanzia sasa mambo yatakuwa hivi.

Na sio kujipost mitandani wakilalamika na kutoa ushauri. Huyo tapeli wewe haoni hata hivyo vindevu? Jeshi la baba yake hilo mopaka aruhusiwe kufunga ndevu?
 
Mbona una haraka hicho unachofikiria kwenda tbc, kitafuata
 
Ni kweli zote bi ballet ila zinatofautiana namna ile nembo ya mbele ilivyo, acha uvivu, angalia picha za msemaji wa jeshi wa sasa za kipindi alipokuwa luteni kanali na sasa akiwa kanali. Angalia kwa makini rangi ya insignia ya hizo ballet mbili.
Dogo acha uvivu, hiyo nembo hiwa ni moja hakuna nembo ya kanali wala captain wewe kichwa panz
 
Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!

Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Mwenyewe amesema yupo tayari kwa kifo kwani tangu anaingia jeshini alitambua hilo.
Mwanajeshi yoyote unayemuona anatambua kabisa kifo ni muda wowote na wapo tayari kwa hilo.
 
Back
Top Bottom