Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.

Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
Acha ujinga wewe ,kila kitu kipo wazi unakuja kubishabisha na hoja za kipuuzi.

JWTZ wenzake wenyewe wanakiri kumjua ,wewe POYOYO wa kazuramimba unakuja na lopolopo zako hapa? hatutaki nywinwinywi wala nywenywenywe.
 
Back
Top Bottom