Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Unatakiwa kuja na taarifa kamili...vinginevyo tutakuweka kwenye kundi la wale wanaotaka tusiwaze contents za hiyo inaitwa video ya akili mnemba!!Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
Ballet inavaliwa na mwanajeshi yeyote kuanzia private mpaka generalIle kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.