G
Ndo maana wenye akili wana amini wenda nyuma yake kuna kundi kubwa la wakubwa jeshini,,maana haiwezekani aende kwenye media akijiamini kiasi kile..so tusubiriAcheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Ni kichekesho kikubwa. Fikiria mfano Samia au Kikwete angekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania 1964 kama Nyerere hali ingekuwaje leo?Inababidi kucheka tu...
Kama mtu nakuambia Samia amefanya makubwa kuliko Nyerere utashangaa nini akikuambia yule Captain sio JWTZ?
Wabongo huwa ni wabunifu kwenye porojo, hata Polepole kila siku ana hotuba badala ya kuweka hotuba moja akaweka hoja zake kwamba aliyemuua Magufuli ni huyu, wanaokwamisha nchi ni huyu na huyu, aliyefanya hivi ni huyu. Yeye anazunguka kila hotuba ya 45 mins unaokota vipoint viwili vitatu basi.Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Sleeper Cell activationAcheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Sawa tuma salamu kwa watu watatuAcheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
Hawa nao ni feki?Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Nyie tulieni hapo tarehe 29 Oct inakuja, kazungumza kasema wananchi wajitokeze na polisi wasiguse raia, unataka afanye kipi tena?Acheni kujazana ujinga, hakuna nusu uasi au nusu mapinduzi. Kile alichokiweka yule jamaa ni kichekesho, hakuna mwanajeshi mwenye akili timamamu anaweza kufanya vile kwasababu matokeo yake ni KIFO!
Kwahiyo wanajeshi wakiamua kufanya basi huwa wanafanya kweli na sio kupost video mitandaoni wamejifunika mashuka kama polepole
Ndio mkuu na kuna mtu X amepost majina halisi , force number yake na intake tayari na inaonekena bado yuko active...safi sana.
..kwa hiyo Kanali kwenda juu kofia zao zina nembo nyekundu.
..luteni Kanali, Meja, Kepten, kwenda chini kofia zao zina nembo ya bluu.
..zingatia kwamba kofia zilizoko kwenye picha ni za KAMANDI YA ANGA.
Kwa hiyo wewe una qmini samia amekataliwa na wananchi wa kawaida tu siyo na wanajeshi pia ? Basi subiri kidogo utaona upumbavu wakoIle kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
wakivaa kombati wanazivaa, usikimbilie kuongea ukaonyesha utupu wenu.Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.
ndevu ndo zimekutoa imani..jaribu na wewe kufanya alivofanya.Wangekuwa serious ungewaona TBC taifa wakikwambia kuanzia sasa mambo yatakuwa hivi.
Na sio kujipost mitandani wakilalamika na kutoa ushauri. Huyo tapeli wewe haoni hata hivyo vindevu? Jeshi la baba yake hilo mopaka aruhusiwe kufunga ndevu?
What if asingevaa kabisa nguo yoyote ya jeshiIle kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform za JWTZ kwa namna haramu na ameamua tu kuzua taharuki.