Maagizo mawili ya Rais Samia yamepuuzwa na wahusika

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili

kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana

Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.

Naomba kuwasilisha
 
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.

Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
 
Labda bado hajafanya feedback amewapa muda siku akifanya feedback kwa kushitukiza watajuta kuwa wazembe.
 
Ni kweli ndugu, huwezi sikia wakiyaongelea hayo hata kidogo wakati kipindi cha mwendazake ilikua akisema jambo hata kama ni la namna gani majibu lazima yatoke. Bodi ya mikopo nao japokua wamemsikiliza Rais kidogo bado wamefanya kwa kulipua sana.
 
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.

Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.

Hahaha naomba nicheke Mkuu. Sorry
 
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili

kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana

Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.

Naomba kuwasilisha
Mkuu sio Vodacom pekee bali wote halafu zikibaki MB kadhaa huletewa ujumbe kuwa asilimia 75 ya kifurushi chako imekwisha na hiyo 25 sijui wanaipeleka wapi kwa maana kuanzia hapo unaambiwa ununue kifurushi kipya hasa kwenye internate.
 
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili

kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana

Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.

Naomba kuwasilisha
Biashara haiendi kwa maagizo ya Rais.
 
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.

Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Mkuu naona unapitisha kimemo kwa mama kupitia mtandao, wewe ni mwerevu sana ati, badala ya kujadili mada iliyoletwa hapa wewe unaleta mahaba yako kwa huyo sijui Mariam wako, acha ujinga bwashee kama huwezi kuchangia mada we pita tu sio kutuletea stori za shemeji wako.
 
Apunguze kidogo kutoa sauti kama anaongea na mzee wamekaa strong room ,mana mwendazake alikua anaongea hadisauti inakauka kau
 
Nafikili watu wanapiga hesabu huko rate ipi itumike ili isiumize mkopaji, mkopajwi na serikali
 
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.

Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Ana watoto 3 na unamwita binti!
 
Sasa hao waliosomea biashara si wakafanye biashara mkuu?
 
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili

kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana

Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.

Naomba kuwasilisha
Kodi imepunguzwa?
 
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.

Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Unawaharibia wenzio unajua
 
Back
Top Bottom