Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukianza kuona Rais anaanza kutoa mapendekezo ujue wananchi wameliwa. Wananchi wajiandae kufanya yao 2025.kunatofauti kati ya maagizo na mapendekezo,...
Vifurushi hata Voda wamepunguza taarifa ilisema makampuni ya cm waludie vifurushi vyao vya awali kabla ya ongezeko kila kampuni ilifanya hivyoRais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Ha haa. Natumia approach ya huyu mama aliyekwenda kwa Yesu kuwaombea wanae 'teuzi'.Dah...Mariam na Adelina ni mabest Toka chuo. Wewe ni yupo hapo 🤣🤣🤣🤣🤭
Hahahhahaha hatari sana!Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Hapana. Mimi ni Bemendazole. Mkuu, zidi kuwaombea hawa wataalam wawili ili mama awaone 'haraka'. Pia zidi kuombea wengine wenye sifa stahiki nao mama awaone 'haraka'!Hahahhahaha hatari sana!
Hapa hujamsaidia huyo mariam wako bali unamuharibia tu, au wewe ndio mariam?