Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Mkuu sio Vodacom pekee bali wote halafu zikibaki MB kadhaa huletewa ujumbe kuwa asilimia 75 ya kifurushi chako imekwisha na hiyo 25 sijui wanaipeleka wapi kwa maana kuanzia hapo unaambiwa ununue kifurushi kipya hasa kwenye internate.Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Biashara haiendi kwa maagizo ya Rais.Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Mkuu naona unapitisha kimemo kwa mama kupitia mtandao, wewe ni mwerevu sana ati, badala ya kujadili mada iliyoletwa hapa wewe unaleta mahaba yako kwa huyo sijui Mariam wako, acha ujinga bwashee kama huwezi kuchangia mada we pita tu sio kutuletea stori za shemeji wako.Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Ana watoto 3 na unamwita binti!Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Kodi imepunguzwa?Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Unawaharibia wenzio unajuaMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.