Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Suala la vifurushi limekuwa mzigo usiobebeka hususani kwa wateja vodacom. Ni expensive sanaRais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Matamko ya kisiasa majukwaani pasipo mabadiliko ya kimaandishi( katiba) ni usanii mtupuRais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
hii kali!ni kama vile unawaharibia kiainaMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Sasa mbona umecheka kabla ya kuruhusiwa?Hahaha naomba nicheke Mkuu. Sorry
Wamekutuma wewe uwafagilie njiaMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
🤣😂😅Wanamchukulia kama 'MAMA' na si kama Rais,wanajua kofi la mama haliumi.
Duh mkuu unawaharibia watu sana ujueMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Mzee hayo ni maumbile na makuzi.Kikwete alikuwa anaongea sauti ya kukaza kama Magu? Jibu hapana kwa sababu Magu alikuwa na Sauti ya kidkteita.Apunguze kidogo kutoa sauti kama anaongea na mzee wamekaa strong room ,mana mwendazake alikua anaongea hadisauti inakauka kau
Dah...Mariam na Adelina ni mabest Toka chuo. Wewe ni yupo hapo 🤣🤣🤣🤣🤭Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Zantel walishashusha bei zao kitambo...Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
We ukaona uweke na Tangazo kabisaMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Post za kipumbavu Sana hiziMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Unajipigia pandeMama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.
Bi Mariam Ngonyani ameolewa na ana watoto watatu. Natumai binti huyu atamuwakilisha vyema mama iwapo atapewa nafasi.
Pia ikimpendeza tena mama, namuomba amteue kwenye wadhifa kama huo bi Adelina Singano kwa wilaya ya Kisarawe. Bi Adelina naye ni msomi wa chuo kikuu cha UDSM fani ya biashara mwenye uzoefu wa takrabini miaka 10 nadhani kwa sasa yuko hapo hapo Kisarawe DC akisimamia mambo ya ushirika. Naamini naye atamuwakilisha mama vyema.
Hapo ndipo ninapoona hakuna tofauti kati ya JK na SSHRais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo angalau iwe 10% mpaka 9% lakini mpaka dakika hii hatujaona mabadiliko yoyote yale au ndo kusema maagizo ya Mh Rais yanapuuziwa?.
Naomba kuwasilisha
Siku Rais akiyatamka hakutambua unalolisemaAcheni kumpa Mama mizigo isio yake. Mmesikia interest za bank zinapangwa na Rais?!!
Waliosoma chuo cha ushirika na bashite hao.Mama Samia anahitaji watendaji madhubuti; Hivyo napenda kutumia wasaa huu kumuomba mama, iwapo itampendeza, kwenye mkeka wake wa ma DED, amteue Mariam Ngonyani kuwa DED wa Morogoro manispaa au Mvomero. Bi Mariam Ngonyani ni msomi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam fani ya biashara na sasa anafanya kazi Morogoro Manispaa akiwa na uzoefu wa miaka takrabini kumi kwenye mambo ya ushirika.