Maagizo mawili ya Rais Samia yamepuuzwa na wahusika

kunatofauti kati ya maagizo na mapendekezo,...
 
Vifurushi mbona wameshusha ndugu
1gb-2000
Wakapandisha hadi 1gb-3000
Sasa wameshusha hadi 1gb-1000
Line zote voda&tigo
 
Vifurushi hata Voda wamepunguza taarifa ilisema makampuni ya cm waludie vifurushi vyao vya awali kabla ya ongezeko kila kampuni ilifanya hivyo
 
Hahahhahaha hatari sana!

Hapa hujamsaidia huyo mariam wako bali unamuharibia tu, au wewe ndio mariam?
 
Vodacom kama biashara binafsi na si ya serikali ina uhuru wa kujipangia bei ya huduma zake , sio jambo sahihi kuwaamulia bei
 
Hahahhahaha hatari sana!

Hapa hujamsaidia huyo mariam wako bali unamuharibia tu, au wewe ndio mariam?
Hapana. Mimi ni Bemendazole. Mkuu, zidi kuwaombea hawa wataalam wawili ili mama awaone 'haraka'. Pia zidi kuombea wengine wenye sifa stahiki nao mama awaone 'haraka'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…