Maagizo ya Paul Makonda siyo yake, ni ya taasisi "CCM na Serikali"

Haa Haa Chama Sasa Kinahangaika Na Wahuni
 
Wewe jamaa yangu ni fala sana,yaani kati ya CCM na SERIKALI,nani mwenye duka na ni muuza duka?

Ukilielewa hili utafuta uzi wako haraka sana,au ulikuwa jela ndio umetemwa muda huu?
 
Wewe jamaa yangu ni fala sana,yaani kati ya CCM na SERIKALI,nani mwenye duka na ni muuza duka?

Ukilielewa hili utafuta uzi wako haraka sana,au ulikuwa jela ndio umetemwa muda huu?
Mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana kutokana na Maagizo ya aliyempa kazi ambaye ni mwenyekiti

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Waziri ni wa Serikali, na Serikali ni mali ya Chama. Sasa sijui hapo unashangaa nini mkuu!
 
Na ndiyo utakapogundua CCM siyo chama cha siasa. Hicho ni kikundi tu cha watu wachache waliojimilikisha nchi.

Tangu lini Katibu mwenezi akawa na mamlaka makubwa kuliko Makamu Mwenyekiti wa chama, Katibu mkuu wa chama, nk!! Maana tangu alipofunguliwa kutoka kwenye chupa, hao watu wawili niliowataja hapo juu, hawajulikani walipo!!
 
Mawaziri wote wako chini ya serikali ya CCM, makonda ni katibu mwenezi wa ccm,

Tusiwe na mahangaiko yasiyo na faida, kikubwa tujipange tu 2025 tuwafyekelee mbali CCM.
 
Mawaziri wote wako chini ya serikali ya CCM, makonda ni katibu mwenezi wa ccm,

Tusiwe na mahangaiko yasiyo na faida, kikubwa tujipange tu 2025 tuwafyekelee mbali CCM.
Mawazo yako yanaheshimika mzee lkn pia usiyadharau Mawazo ya mwenzako
 
CCM ndio mwenye duka halafu mawaziri ni wauza duka la CCM! mda wowote mwenye duka anaweza kumtimua muuza duka.
 
CCM ndio mwenye duka halafu mawaziri ni wauza duka la CCM! mda wowote mwenye duka anaweza kumtimua muuza duka.
Viraza wa aina yenu ndiyo wale aliowasema Samia kuwa mnaitaji Elimu ya siasa na katiba kwa muda wa miaka mitatu mfulizo kabla ya kwenda kwenye utaratibu wa kupata katiba mpya. Mnapuyanga tu bila aibu, hata hii katiba iliyopo hamuijui.

Baada ya uchaguzi serikali inayoundwa uwajibika kwa wananchi siyo kwa chama. Makonda au chama hawana mandate ya kumwajibisha waziri, na inapitokea Rais amemwajibisha waziri fulani, ufanya hivyo kwa mamlaka yake kama mkuu wa nchi na siyo kwasababu yeye ni m/kiti wa chama tawala.

Makonda anajiendea kama gari bovu na anafanya hasiyoyajua. Msemaji mkuu wa chama ni katibu mkuu na siyo Muenezi. Kazi ya Makonda ni kueneza sera za chama, Elimu na mafunzo. Hii ya kusimamia serikali kajitungia yeye mwenyewe na kiherehere chake, si kazi yake. Kusimamia na kuishahuri serikali ni kazi ya Bunge siyo kazi ya chama. Mnapelekwa kama mikondoo alafu mnashangilia na kujifanya wajuaji..... bure kabisa.
 
Ili waziri ajibu swali bungeni ni lazima swali hilo litumwe kwake miezi kadhaa kabla ya bunge kuanza ili swali hilo litafutiwe majibu, sasa yeye Makonda anataka majibu ya papo kwa papo kama nani au yeye snadhani hao mawaziri robot. Na tuonene sasa kama atarudia tena huo ujinga wa sifa za kishamba.
 
Wewe ni msemaji wa makonda au taasisi ya ccm?
Ni yeye amekutuma au ni taasisi imekutuma?
Katibu Mkuu wa CCM bara (Kinana) ameshatoa ufafanuzi, wewe nenda kakojoe ulale.
 
CCM ndio mwenye duka halafu mawaziri ni wauza duka la CCM! mda wowote mwenye duka anaweza kumtimua muuza duka.
Kwa mawazo haya Watanzania tumekuwa taifa la watu wajinga sana. Wenye duka ni Watanzania (Wananchi wenyewe) SIYO chama cha siasa. Chama cha siasa kinapopewa ridhaa na wananchi kushika dola, kinawaongoza wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa. Serikali inawajibika kwa wananchi siyo kwa Makonda au Chama. Mnapigia Makonda debe la kijinga na mnaendelea kumpoteza.
 
Kama Makonda kakutuma, husiwe unafyatuka kuandika vitu usivyovijua aibu Itabaki kwako.
 
Kujiosha hapa ni kugumu, mshikaji alibugi sana, Baada tu ya kupata cheo angekaa na katibu wake Mkuu na Makamu mwenyekiti wake wa chama wakayajenga kwanza. Sasa ndugu yangu akakurupuka na mifarasi kujipatia umaarufu binafsi.. πŸ˜€

Wenye mji wameingiaa....... (wenye chama chao)

Zigo hilo sasa.
 
Labda unawaongelea watu tofauti,katibu mwenezi CCM ni Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…