Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

Mama amefeli mapema sn
Mie naona labda Mh.Mama yetu Rais imefika muda kwa mstakabali wa reconciliation na kuanza ukurasa mpya, hao mashehe aagize waachiwe tu,nina imani adhabu ya kukaa kwao gerezani miaka yote hii ni tosha hata kama walitenda/ hawakutenda makosa, naona itakuwa vigumu kuweza kujaribu tena kujihusisha na harakati ambazo zitakuwa kinyume na sheria....kazi iendelee.
 
So Ndugai yuko Chini yake?

Hao wavuvi ulitaka waachwe tu?

Hivo vifurushi ulitaka yeye aingie kwenye system za voda abadilishe?

Hayo maamuzi magumu ni yapi?

Awafungie vodacom leseni?

Amfute kazi spika?
 
Kwa hiyo wavuvi hata kama wamevunja sheria ulitaka waachiwe
 
Maagizo ya kiongozi huwa yanafanyiwa kazi lakini ni suala la mchakato,Kwa mfano Mashehe waliopo gerezani hawawezi kuachiliwa huru hivi hivi bila hati za kuachiliwa kwao kuwekwa wazi mbele mwendesha mashtaka wa serikali, hivi hawa suala lao litachukua muda ila si sawa kusema kwamba maagizo ya rais hayafanyiwi kazi.
 
Pia aliagiza wizara ya fedha kulipa wakandarasi kwa wakati hilo halifanyiki kiasi kwamba serikali italazimika kulipa riba kubwa kwa urasimu usio wa lazima
 
Ni kweli aisee
 
Upande wa serikali ukiondoa shtaka lao mahakama inawaachia fasta.
 
Huyo muungwana anafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza genge la kujadili mechi ya simba na yanga la kijiwe cha mtaani kwake.
 
Wameanza kulejesha kwangu dar supa uni imelijea
 
Uko sahihi sana;

Pili hili suala la mashehe ni la kisiasa zaidi...ukifuatilia vizuri kuna element za ugaidi si bure.

Mienendob yao ilihatarisha amani kumbuka enzi za makanisa kuchomwa moto.

Pamoja na hayo wana haki kupewa haki zao yaani kuachiwa ikiwa hawana hatia au kufungwa zote ni haki.

Lakini haikuwa hivyo waliwekwa rumande tu.
 
Mwaka huu mtalalamika sana
 
DAMN! 🙌
 
Rais Samia aliagiza B.o.T ifanyiwe special auditing (Jan-March, 2021) na ripoti itolewe lakini Hadi leo KIMYA. Kwanini?

Aliagiza vyombo vya Habari vilivyofutiwa leseni virejeshewe lakini mawaziri/viongozi wake wakapindisha, eti ni online tvs tu, Kwanini?

Alitoa rai wabunge waibue hoja za kujenga na kuisaidia Serikali lakini badala yake wabunge hawana Swali hata moja kwa Serikali (kwa waziri mkuu), kutwa kuwatetea wabunge a Covid-19

Ametoka Kenya kuleta Suluhu lakini muda mfupi baadae raia wa Kenya wakakamatwa. Kwanini?

Akiwa Kenya aliaagiza wafungwa wa kisiaasa waachiwe, Ila hakuna media hata moja Bongo ilogusia taarifa hiyo na haijafaamika itamchukua AG muda gani kutii maelekezo hayo. Taarifa hiyo imetolewa na vyombo vya habari vya kenya, Je, hata TBC haikuandamana na Rais?

Rais wetu, usipokuwa makini, kuna kundi kubwa nyuma yako linalojipanga kukukwamisha.
 
Kiukweli na Mimi bado nashangaa Maelekezo yake watu wanajivuta sana kuyatekeleza mfano Mhe Rais alielekeza retention fee kwa wanufaika wa HSLB iondolewe Mara moja bahati mbaya Ndalichako akasema tena agizo hilo litaanza kutekelezwa july.Ina maana HSLB inawachukua zaidi ya miezi miwili kushughulikia hilo?
 
Huwezi kupata vyote kwa wakati mmoja. Yaani rais awe mpole hapohapo mkali, mfuata sheria na taratibu hapo hapo maamuzi yake yatekelezwe pasipo kufuata sheria na utaratibu . mzee ridhika na spidi iliyopo ni hii hii ndo ujue maana ya kufuata sheria na taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…