Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

Sina la kuongeza hata nukta!!

Halafu sijui kwanini watu wanadhani, vitu kama kufungua milango ya biashara inamaanisha hatutafuata tena sheria zetu!
 
Ha ha haaaaa
 
......Sikujua kama Shetani ala mlo mmoja, yakhe! ( walikuwa na maneno hatari).
Aisee maneno yao ni mazito mno na watu wanahamasika kweli kweli. Wana mori ya hali ya juu kiasi kwamba wakiambiwa chukua silaha wanachukua kweli aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…