Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Punguza ujuaji ukituhumiwa hata kwa kusingiziwa uteuzi utatenguliwa kama sabaya na viongozi wengine wa kuteuliwa ,jifunze taratibu usikurupuke tu kama bata bukini.
 
Hii Nchi imeshakuwa na sheria moja kwa Tabaka la Watawala na Mafisadi wenzao na Sheria nyingine ni kwa Tabaka la Watawaliwa na Masikini na Wananchi wa hali ya chini wa kuingiziwa chupa na kuhamishiwa Burundi.
 
Yaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Walikuwepo,
Walikwends kutoa ushahidi kwa DPP?

Waliona au nao walisikia?

Wakat anaingizwa hiyo chupa Manyara yote walikuwepo?. Wewe unavyopiga kelele zote hizi uliona au nawe umesikia tu?

DPP kajitoa kesi ya Mbowe mmeshangilia.
Leo kajitoa kesi ya msiyempenda mnalalama.
 
Tukupachike hiyo chupa then Uchekeleee
Yaan uamke tu asubuhi umeshiba chai yako useme Fulani kakupachika chupa basi fulani akafungwe.

Rudi shuke mkajifunze Evidence act , burden of proof na kadhalika.

DPP siyo kichaa na anajua kuliko wewe.

Hivi unajua hata ni content kias gani ya ushahidi upo mezani kwake?.. ana vielele,o gani?..
Au unaropoka tu
 
Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.

Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sisi bado sana, miezi hii ya nyuma naibu Waziri mmoja alitoka na mwanafunzi wa Mzumbe akapata ajali mwanafunzi akafa, Waziri hakushitakiwa, hiyo Kinga aliyopewa ni balaa, kuanzia Polisi, zahanati moja wakasema aliletwa anaumwa presha akafa, akazikwa kimya kimya kwao Singida. Mfumo wa hovyo, leo huyu naye anakimgiwa kifua na DPP.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Muacheni mbarikiwa ahubiri injili jela Mungu kamtuma kuokoa roho zinazopotea ujio wake jela uenda umeokoa maisha ya wengi.
Mungu hakosei
 
Kama zumaridi vile Toka atoke chuo (jela) umaarufu umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…