mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Achana na wa shamba mkuuYaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na wa shamba mkuuYaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Ndugu Shujaa mwenda zako,hii ni bongooo ukitokamooo huwezi yaona tena maajabu yeeeetu🤣Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Punguza ujuaji ukituhumiwa hata kwa kusingiziwa uteuzi utatenguliwa kama sabaya na viongozi wengine wa kuteuliwa ,jifunze taratibu usikurupuke tu kama bata bukini.Hapa ameongea kwa niaba ya chama ama ametoa maoni yake binafsi?
Wapi kajitambulisha kama mwanachadema mkuu?
Rais alimtengua unaibu waziri wewe unasema ni maneno tu kama ya kwenye kanga?
Rais ana vyanzo vingi vya kupata taarifa sahihi sio kama wewe hata jirani yako hawezi kukupa taarifa hata ya msiba tu.
Nawe ungesubiri asubuhi ifike ili u comment,nawe saa saba hiyo kama mchawi!!Huu uzi ungesubiri kupambazuke lakini unapost usiku huu wa saa saba kama mchawi!
Stupid with your injiliMchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Acha kuchafua Watu wa Geita kwa upumbafu wa watu wa ChattleYaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Walikuwepo,Yaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Yaan uamke tu asubuhi umeshiba chai yako useme Fulani kakupachika chupa basi fulani akafungwe.Tukupachike hiyo chupa then Uchekeleee
Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Nchi zinazojali sheria, ukituhumiwa lazima upande kizimbani, muulize Trump aliyekuwa Rais wa Marekani, hapa kwetu hata Spika wa bunge ana Kinga ya kutoshitakiwa.kumbe chadema mnao ushahidi ? pelekeni polisi maana maneno hata kwenye kanga yapo ,
Sisi bado sana, miezi hii ya nyuma naibu Waziri mmoja alitoka na mwanafunzi wa Mzumbe akapata ajali mwanafunzi akafa, Waziri hakushitakiwa, hiyo Kinga aliyopewa ni balaa, kuanzia Polisi, zahanati moja wakasema aliletwa anaumwa presha akafa, akazikwa kimya kimya kwao Singida. Mfumo wa hovyo, leo huyu naye anakimgiwa kifua na DPP.Sasa siukashitaki wewe kama wewe na utoe ushahidi juu ya huyo anayewekea watu chupa hata huko UN nenda kashitaki wewe sinimpigania haki za binadamu bwana.
Au beba mabango BBC wakuone kama kina Bob Wine huko Uganda siyo kujificha ndani ya jf.
Kama huwezi kuleta ushahidi basi huna haki ya kuzungumza chochote juu ya hilo.
Ina maana Manyara yooooote hawajaliona hilo na kutambua kuwa unachuki zenu za siasa kwa kuwa anayetuhumiwa aliondoka chadomo?
Na Rais Samia aliyemtengua kazi naye ni Chadema? Wakati mwingine mjitajidi kuficha ujinga.Huu ndio mkakati wa CHADEMA kutwaa Dola? Pathetic
Kama hana KESI means kaonewa apewe teuzi yakeNa Rais Samia aliyemtengua kazi naye ni Chadema? Wakati mwingine mjitajidi kuficha ujinga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama zumaridi vile Toka atoke chuo (jela) umaarufu umekufahuyo hajapelekwa jela, amepelekwa shule, Mungu anamfundisha kwa kukimbia wito, Mungu alimuita kuwa mwimbaji wa injili, na kwa kupitia uimbaji ameleta wengi kwa Yesu na kufariji wengi, lakini yeye amekimbilia kwenye uchungaji ambao hawezi kitu kabisa na aliamini kwenye uchungaji ndiko kwenye mpunga na ndiko atafikia watu wengi zaidi. atatoka muda si mrefu, ila akitoka mshauri kitu kimoja, mwambie aachane na uchungaji, atunge nyimbo nyingi za kuabudu kwasababu tumezimiss na atapata pesa pia nyingi kwa nyimbo za aina hiyo. hawezi kuwa mchungaji kwasababu hatakuja kupata kibali, kwani aligoma kusoma kuwa mchungaji ambacho ni kigezo namba moja, na akijifanya jeuri atarudi tena jela na akishitakiwa sasahivi atafungwa miaka mingi zaidi kwasababu ana previous conviction. mshauri sana, utakuwa umemsaidia.
muda si mrefu atagraduate kwenye shule, Mungu amekuwa akimuambia mara nyingi anashupaza shingo, amerushwa huko kama vile Yona alivyorushwa kwenye tumbo la samaki, akitoka afuate wito wake aachane na kile Mungu hajamuitia.