Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru


Kesi ya Kamanda Mbowe ilikua ya kubumba
 
ccm kumejaa dhurma, wizi, ufitini, uongo, kuwaelewa ccm na mambo yao ni vigumu sana....wanajiona wao hawatakufa ndio maana wanafanya haya wanayoyafanya
 
Jibu swali mmeona au mmesikia,kama mmeona basi pelekeni ushahidi wenu polisi ili dpp awahfikishe mahakamani.

99% wanasema wamesikia na kuona kupitia mitandao wewe pia umesikia kupitia mtandao halafu unataka mtu afungwe,una akili wewe kweli?
 
Huyo aliyekosa kibali imethibitika pasi na shaka.
Na amehukumiwa kwa Mujibu wa sheria siyo kwa mujibu wa hisia zako..(Huu ndo maana halisi ya utawala wa sheria)

Wewe umethibitisha tuhuma za Gekul au umesikia tu?.. Utawala wa sheria unataka ithibitike pasi na kuacha shaka.

Toa UJINGA wako , jibu hoja siyo kuleta mahisia yako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…